Audiobooks

Audiobooks

Ja60

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2012
Posts
277
Reaction score
181
Kwa wale wapenzi wa audiobook tunaomba tusaidiane kushare best audiobook uliyowahi sikiliza na kama inawezekana kushare link ambayo tunaeza kupata hizo audiobook kwa urahisi.
 
Nenda kwenye web za kawaida tu unapotumia kudownload nyimbo na movie boss you will find it. Just search for the book. It might be kat, the pirate bay, extra torrent, n.k
 
Asante mkuu, nitacheki huko. Vipi unaweza nisaidia kwa experience yako ni audiobook gani ambazo ni nzuri ulizowahi kusikiliza?
 
Nyingi tu; sijui interest zako but to me nimewahi kusikiliza; long way to freedom by mandela, slight edge, the richest man in babylon, rich dad poor dad, cash flow quadrant, twelve pillars of success, its not over until you win, the power of purpose, as a man thinketh, eat that frog, n.k For sure vingi sana hadi uvivu kuandika.. Ila we tafuta kulingana na interests zako, to me it's the easiest and simple way to read books
 
I personally travel a lot and this is when I read more books.
 
Nyingi tu; sijui interest zako but to me nimewahi kusikiliza; long way to freedom by mandela, slight edge, the richest man in babylon, rich dad poor dad, cash flow quadrant, twelve pillars of success, its not over until you win, the power of purpose, as a man thinketh, eat that frog, n.k For sure vingi sana hadi uvivu kuandika.. Ila we tafuta kulingana na interests zako, to me it's the easiest and simple way to read books
Thanks, some of the books that you have mentioned nimeshavipitia, and i will look into hivyo ambavyo sijapitia.
 
Back
Top Bottom