Audio za Steve Nyerere nani kafanya udukuzi?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,552
Nimestuka sana kusikiliza mululizo huo-series-hivi udukuzi, usanii au nini? Aisee najiuliza nani katengeneza hii? Au ni kweli? Hii ni hatari kwa celebrities wetu jamani acheni kuingilia maswala mengine ambayo ni mazito sana kwenu, pesa haina mwisho.

Shikilieni kazi zenu na sio kutaka kujiingiza kwenye mashindano na Serikali
Tafadhali kaeni mbali na siasa acheni dola ibaki kua dola. Bado umri wenu ni mdogo mno, mnajiingiza kwenye mambo mazito ambayo yatawapoteza kabisa katika game. Otherwise acheni kabisa usanii muwe wanasiasa.

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom