Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 1,959
- 2,177
Ipoje hii?Mimi natumia soundHound
Iyo video si itakua inatoa sauti.
Mimi natumia soundHound
Hio hio Shazam mimi natumia muhimu sauti tu.
Kwioooo
Mi nataka niwe natumia simu iyi iyo shazam kutambua wimbo uliopo eg instagam kwenye simu iyo iyo moja, nafanyaje?
Fungua shazam kisha tap and hold ile search button ya shazam kisha iache bila kuifunga (utaona imeandikwa "auto shazam on") kisha ingia popote pale penye muziki unaoupenda na muziki utakuwa determined automaticallyMi nataka niwe natumia simu iyi iyo shazam kutambua wimbo uliopo eg instagam kwenye simu iyo iyo moja, nafanyaje?
Tengeneza hiyo appHeshima kwenu wakuu.
Kuna apps ambazo unaweza kuzitumia zikakuonesha aliyeimba huo Wimbo na jina la Wimbo pia.
Sasa, vipi kwa video clip ambayo naiangalia lakini siifahamu nitatumia app gani kuifahamu video clip husika wakuu...?
NAWASILISHA.