Audio: BBC wafanya Interview na Diamond kwa kiingereza

Audio: BBC wafanya Interview na Diamond kwa kiingereza

This Is what we call...starting from the bottom now we her...well done Diamond. A good ambassador of dream chasers. .....impressive.
 
Impressive. Kwa juhudi binafsi kajitahidi sana.
 
Nielewe vzuri

Sipondi juhud za Diamond na mafanikio yake, ila nachoona hakipo sawa ni watu kushikilia suala la english ya Diamond kama success story

Am sure hata yeye hatapenda kuona et anasifiwa kwa kuongea koongereza vizur, yaan level hiz ni za kusifiana english, tena kwa coment zaid ya 40?? ndo unyuma wenyewe huu.

Ni sawa na kumsifia mwanafunz wa Chuo kikuu kwamba anajua kusoma na kuandika, Diamond tayar ni mwanamziki wa Kimataifa so kujaza server za Jf et tunasifia alivyoongea kingereza as if kuongea kiingereza kunahitaj technolojia ya ajabu ni kumshushia hadhi

U r stupid. Tuache tumsifie, tunajua alipotoka.
 
Mbona mara kibao ameshahojiwa kwa ung'eng'e na amefanya vizuri ? anathibitisha kuwa kijana ana uwezo wa kujifunza na kuelewa...na hiyo ni dalili mojawapo ya mtu mwenye bidii.
 
Tumchukie Wema lkn Penye pongezi zake tumpe. Nilimsikia Chibu akihojiwa na XXL, kuhusu yai", nafikiri ni baada ya kutoka bigbrother ... alijibu ni "Wema Sepetu English Course. Na nafikiri kwa wakati huo hawakuwa pamoja na wema, ikawa kama ni news flani vile. Mpaka clousd wakaanza kumsifia Wema kwa kuwatrain Kanumba, then Diamond

Alisema Penny Penny Penny

Hili jambo lilishazungumziwa humu ni Penny.
 
Nielewe vzuri

Sipondi juhud za Diamond na mafanikio yake, ila nachoona hakipo sawa ni watu kushikilia suala la english ya Diamond kama success story

Am sure hata yeye hatapenda kuona et anasifiwa kwa kuongea koongereza vizur, yaan level hiz ni za kusifiana english, tena kwa coment zaid ya 40?? ndo unyuma wenyewe huu.

Ni sawa na kumsifia mwanafunz wa Chuo kikuu kwamba anajua kusoma na kuandika, Diamond tayar ni mwanamziki wa Kimataifa so kujaza server za Jf et tunasifia alivyoongea kingereza as if kuongea kiingereza kunahitaj technolojia ya ajabu ni kumshushia hadhi

Mkuu uko sahihi kabisa kwani kingereza si lugha kama lugha zingine?
Mbona wachina kariakoo wako kibao na wanaongea kiswahili kama wabongo ukiamua kujifunza lugha hata kisandawe utajua tu.
 
Back
Top Bottom