Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Mkuu Remote, watu wanachanganya madawa tu. Nitaendelea kuwapiga wasaliti wote hadi dakika ya mwisho. Jitu kama Zitto linastahili kuwa CCM. Chadema tulimvumilia sana
Sasa hivi mnamvumilia Joshua Nassari.....akiondoka huyo atafuata mwingine....kisha mwingine
 
Kunapotokea contradiction kati ya wandini juu ya siasa automatically nao ni wanasiasa wanaotumia jukwa la kidini.
 
Unajua huyu jamaa anayeitwa Askofu au sijui mchungaji Gwajima nilikuwa sijawahi kumfuatilia kwa ukaribu hivyo sikuwa najua mengi juu yake.

Lakini tokea haya mambo ya ile taja taja ya wahusika wa madawa ya kulevya ndo kidogo kidogo nikaanza kumfuatilia.

Eti naye anajiita ni dokta. Yaani ana shahada ya uzamifu. Shahada yenyewe kaipatia kutoka chuo kiitwacho Omega Global University.

Vichekesho! Omega Global University ni diploma mill! Chuo hakina hata accreditation ya maana.

Tuachane na hayo ya 'PhD' yake. Tuje kwenye mwenendo na mdomo wake.

Baada ya kuiangalia hii video sasa naelewa ni kwa nini alidai anavyo vyeti vya Paul Makonda ofisini kwake [which was dumb].

Hebu sikiliza hayo maneno aliyoyaongea kuhusu Kadinali Pengo. Eti huyo ndo askofu. Askofu mwenye wafuasi tele.

Huyu mtu hana credibility yoyote ile. Ni msanii tu. Alifaa awe kwenye tasnia ya akina Omari Tego na akina Mwinyi Mkuu. Huko kwenye utumishi wa mungu anafanya utapeli tu.

Awali nilikuwa sielewi kwa nini anafanya hivo anavofanya ila sasa nishaelewa.

Ila hao wafuasi wake nao hmm....kaazi kweli kweli yaani!
 
Unajua huyu jamaa anayeitwa Askofu au sijui mchungaji Gwajima nilikuwa sijawahi kumfuatilia kwa ukaribu hivyo sikuwa najua mengi juu yake.

Lakini tokea haya mambo ya ile taja taja ya wahusika wa madawa ya kulevya ndo kidogo kidogo nikaanza kumfuatilia.

Eti naye anajiita ni dokta. Yaani ana shahada ya uzamifu. Shahada yenyewe kaipatia kutoka chuo kiitwacho Omega Global University.

Vichekesho! Omega Global University ni diploma mill! Chuo hakina hata accreditation ya maana.

Tuachane na hayo ya 'PhD' yake. Tuje kwenye mwenendo na mdomo wake.

Baada ya kuiangalia hii video sasa naelewa ni kwa nini alidai anavyo vyetu vya Paul Makonda ofisini kwake [which was dumb].

Hebu sikiliza hayo maneno aliyoyaongea kuhusu Kadinali Pengo. Eti huyo ndo askofu. Askofu mwenye wafuasi tele.

Huyu mtu hana credibility yoyote ile. Ni msanii tu. Alifaa awe kwenye tasnia ya akina Omari Tego na akina Mwinyi Mkuu. Huko kwenye utumishi wa mungu anafanya utapeli tu.

Awali nilikuwa sielewi kwa nini anafanya hivo anavofanya ila sasa nishaelewa.

Ila hao wafuasi wake nao hmm....kaazi kweli kweli yaani!

HUYU NDIO WA KUMSHANGA!!! BASHITE
 
Ngoja na mimi nifukue fukue mambo ya USA maana bado siielewi vizuri. Maana naona mambo USA BABY KWA SANA!!
 
Huyo jamaa ni tapeli, ila kwakuwa kama unavyojua mambo ya imani waumini wake wameshakuwa completely radicalised - wamekuwa misukule kabisa na anawaburuza atakavyo - Ana utajiri wa kutisha wakati waumini wake hawawezi hata kulipia pango la nyumba la 3,000

- Haya makanisa ya kilokole yako kibiashara sana huwezi hata kusikia yametoa msaada kwa yatima

- Nafikiria kuwa mkatoliki hapa nilipo
 
Inaonekana BASHI.. ni dawa kali ya kulenya

Hata watu wenye akili zao kama wewe inakulevya

Tafuta REHABITATION service kabla hajatoka ofisin

Maana ni lazima MVUA inyeshe MWAKA HUU!
SAFI SANA!! WE NDO UMEMSOMA HUYU KIUMBE!
 
Back
Top Bottom