Audi alteram partem

Man MG

Member
Dec 12, 2017
12
3
Ndugu wanasheria naomba msaada juu ya umuhimu & applicability ya Audi_alteram_partem(listen to the other side) kama principle mojawapo ya natural justice ,,,
Nawasilisha
 
Sema ni assignment tukusaidie ktk njia hio ya darasan au tukupe basic knowledge kama layman tu.
 
Ni haki ya kusikilizwa kama ile MWAKYEMBE na kamati yake ya RICHMOND walivyomnyima Lowassa kujieleza kwenye kamati wakati ofisi ya Waziri Mkuu unatembea kwa miguu lakini wakaitoa haki ile kw akusafiri na ndege hadi Marekani kuwasikiliza RICHMOND kama wapo.
 
Back
Top Bottom