Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
Kijana mmoja fundi wa magari mwenye umri zaidi ya miaka 30 aliyefahamika kwa jina ala Octa ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana katika sakata la kugombea mtoto ambaye rafiki yake amezaa na mtoto wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), Celina Kombani.
Tukio hilo limetokea leo saa saba na nusu usiku kwa mujibu wa radio TBC taifa maeneo ya kijitonyama kwenye kwenye makazi mapya ya nyumba za mawaziri baada ya kijana Octa aliyemsindikiza rafikai yake amabaye amezaa na mtoto huyu wa waziri ndipo walipotokea vijana wawili wote wakiwa na silaha wakiwa ndani ya gari ya aiana ya RAV4 wakaanza kuzozana na kumfyatulia risasi kijana Octa na kumuua pale pale.
Hadi sasa vijana hao eti haijulikani ni kina nani wakati wao pia walikuwepo eneo la tukio wakizozana katika sakata la kugombea mtoto?
Hii inasikitisha sana hasa ukizingatia issue ya mauaji ya kinyama kama haya yanamuhusisha waziri wa Tamisemi mabaye ni mtu mkubwa katika jamii yetu