Auawa kwa kupigwa risasi wakigombea mtoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Auawa kwa kupigwa risasi wakigombea mtoto

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Lucchese DeCavalcante, May 17, 2010.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  May 17, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Kijana mmoja fundi wa magari mwenye umri zaidi ya miaka 30 aliyefahamika kwa jina ala Octa ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana katika sakata la kugombea mtoto ambaye rafiki yake amezaa na mtoto wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), Celina Kombani.

  Tukio hilo limetokea leo saa saba na nusu usiku kwa mujibu wa radio TBC taifa maeneo ya kijitonyama kwenye kwenye makazi mapya ya nyumba za mawaziri baada ya kijana Octa aliyemsindikiza rafikai yake amabaye amezaa na mtoto huyu wa waziri ndipo walipotokea vijana wawili wote wakiwa na silaha wakiwa ndani ya gari ya aiana ya RAV4 wakaanza kuzozana na kumfyatulia risasi kijana Octa na kumuua pale pale.

  Hadi sasa vijana hao eti haijulikani ni kina nani wakati wao pia walikuwepo eneo la tukio wakizozana katika sakata la kugombea mtoto?

  Hii inasikitisha sana hasa ukizingatia issue ya mauaji ya kinyama kama haya yanamuhusisha waziri wa Tamisemi mabaye ni mtu mkubwa katika jamii yetu
   
 2. M

  Maindainda Member

  #2
  May 17, 2010
  Joined: Jun 1, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13

  duh, hii mbaya sana, ingawa sijaona bado mtoto anahusikaje hapo.
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  May 17, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,383
  Likes Received: 22,263
  Trophy Points: 280
  Wauaji wanajulikana, ila wameamua wasiwataje na kesi imekwisha.
  Hamna cha uchunguzi wala ugunduzi.
  Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu.
   
 4. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #4
  May 17, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Ndio mambo ya kuwakava watoto wa wakubwa
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  May 17, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Lakini hii kesi nadhani iendelee mbele zaidi kiuchunguzi maana nimeona taarifa ya habari kuna vijana walioona namba za gari watu wanaosadikika kuwa ni wauaji wakiondoka eneo la tukio
   
 6. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #6
  May 17, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,908
  Likes Received: 21,019
  Trophy Points: 280
  just like that??!!
   
 7. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #7
  May 17, 2010
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,951
  Trophy Points: 280
  hapa ishu ni mtu kuuliwa kwa kupigwa risasi (octa) au ishu ni mtoto wa waziri celina kombani?....na mie kama mdau natakiwa kuchangia nini?
   
 8. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #8
  May 17, 2010
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  wale walikuwa ni Polisi na walishikwa usiku ule ule
   
 9. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #9
  May 17, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,908
  Likes Received: 21,019
  Trophy Points: 280
  more info plz.
   
 10. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #10
  May 17, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Nilikuwa najiuliza mara 3 - 3 same kwesheni!

  Asante
   
 11. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #11
  May 17, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Hapa ndo umetuchinjia baharini ya kicha kimesukumwa na mawimbi wakati kiwiliwili bado kinaelea!

  Do kweli its here we dare talk openly and WILD WIDELY!! :becky:
   
 12. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #12
  May 17, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  hii habari iko nusu nusu .............hebu jamani tufahamisheni uzuri plz
   
 13. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #13
  May 17, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Nami kuna mtoto nataka nikamg'oe sehemu. ni mwanangu. sasa haya ya kuuana tena, duh!:target:
   
 14. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #14
  May 17, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Madahara ya kuruhusu umilki wa bunduki kiholela bila kuwa na uthibiti wowote; Sumaye na Mkapa wanatakiwa waarifiwe jambo hili pia
   
 15. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #15
  May 17, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Mamangu hao vijana watapaswa kuwa makini manake wakijasema tu, kesho wanapotezwa. Ndo maisha yetu!
   
 16. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #16
  May 17, 2010
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,654
  Likes Received: 409
  Trophy Points: 180
  Monday May 17, 2010

  Local News

  5 police officers behind bars over death of Dar es Salaam resident

  By LUDOVICK KAZOKA, 17th May 2010 @ 12:00, Total Comments: 0, Hits: 54

  FIVE policemen from Oyster Bay police station in Dar es Salaam are behind bars. They will remain in custody pending completion of preliminary investigation on circumstances that led to the death of one Octavian Kashita.

  Dar es Salaam Special Zone Police Commander, DCP Suleiman Kova confirmed the arrest of his officers saying one of them opened fire when trying to put under arrest four alleged kidnappers near Victoria area in Kinondoni district in the city.

  During a routine media briefing, the police commander who refused to disclose names of the police officers in custody said that six other individuals were in custody in connection with the incident.

  Unveiling the entire episode, Commander Kova said yesterday evening at around 7pm, a lady identified as Sia Minja, 28, complained to the police at Oyster Bay station that her brother Bariki Minja was kidnapped by four unidentified male adults known to be related to the mother of his child. According to the police chief, there was a family dispute between Bariki and Martha Makishe who is the mother of Bariki's son identified as Kinsley Bariki.

  "There is a civil case Number 31/2010 pending in Kinondoni court whereby Bariki Minja is accused of abandoning his own son and refused to provide monthly upkeep allowance for the baby," explained DCP Kova.

  He said after informing the police about kidnap of her brother, five police officers accompanied her to the scene near Victoria. She showed them a Toyota Land Cruiser Prado type with registration number T 864 BHC, said the police chief, which was driven by the son of Celina Kombani, Minister of State, Prime Minister's Office, Regional Administration and Local Governments.

  "In this vehicle Bariki was held by four men. The police ordered the kidnappers to surrender but they refused and remained defiant. One of the officers opened fire and killed Octavian Kashita," DCP Kova explained.

  Asked why put the police officers in custody, commander Kova briefly said: "It was necessary to put them in custody as investigation continues."

  The commander further confirmed that eleven people all together were in custody in connection with the incident. These include five policemen, four suspected kidnappers, the kidnapped Bariki and Sia Minja who informed the police about the kidnap.

  From other sources it was learnt that the late Octavian Kashita was one of the minister's family assistants entrusted with the duty to take care of vehicles.
   
 17. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #17
  May 18, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  ni akina nani, nani kamaliza, lini na kwa vipi. Kwa nini hakuna uchunguzi. kwa nini hawapelekwi mahakani.
   
 18. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #18
  May 18, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Hapo kwenye red kichwa ndo kinaniuma, aleyeua, aliyetekwa na aliyetoa taarifa wote ndani nani atakuwa shahidi kwenye hiyo kesi ya mauaji. Nimeamini mambo yamemalizwa hiyo kesi hata ikienda mahakamaniwashitakiwa wataachiwa tu.

  Bulibuji hujakosea.
   
 19. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #19
  May 18, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Huyo mtoto alokuwa akigombewa ni wa umri gani au mie ndo sijaielewa hii hadithi?
   
 20. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #20
  May 18, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Ndugu yangu, We shika kichwa tu kwa masikitiko, maana ukiangalia statement ya kova huwezi kujua anataka kwenda wapi, issue ni mauaji lakini yeye anaelezea vitu irrelevant kabisa ili kuprejudice kesi nzima.
   
Loading...