Au sababu ya ugeni

Au sababu ya ugeni

Rahabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
5,527
Reaction score
3,344
Habari zenu wana MMU
Mm nina nina moja tu yaan kuna wadau wametoa maua wengine zawadi watu wapeane cha kushangaza kama maua watu wamegawana yote yameisha wengine wamepata zaid ya mawili
Mm had sasa shjapata hata UA JEUSI.
sasa najiuliza au sababu ya ugeni jamani
 
Wewe ni me au ke?

Btw weye umetoa au wasubiri kupokea tu kama golikipa?
 
^^
Usiwe na haraka @a.rahab utampata hivi karibuni ukitaka kuthibitisha hili, nenda jukwaa la chit chat mada ya 'naomba ua jamani' utapata mengi na PM juu
^^
 
Braza,

hata golikipa huwa anatoa pasi. huyu labda utaje shimo la big need. manake halitoagi, linapokea tu...

Kwema lakini?

Hahah!!

Kwema sana mkuu, sijui pande yako
 
Mm had sasa shjapata hata UA JEUSI.
sasa najiuliza au sababu ya ugeni jamani

usikaekae sana nyuma....
haya ndio kilichobaki hicho..
flower-stamens-black_1_lg.jpg
 
Habari zenu wana MMU
Mm nina nina moja tu yaan kuna wadau wametoa maua wengine zawadi watu wapeane cha kushangaza kama maua watu wamegawana yote yameisha wengine wamepata zaid ya mawili
Mm had sasa shjapata hata UA JEUSI.
sasa najiuliza au sababu ya ugeni jamani
na mie pia mgeni ka wewe chukia mji wa mau...
images

Wanapeana wanaojuana humu utasubir sanaa
 
Habari zenu wana MMU
Mm nina nina moja tu yaan kuna wadau wametoa maua wengine zawadi watu wapeane cha kushangaza kama maua watu wamegawana yote yameisha wengine wamepata zaid ya mawili
Mm had sasa shjapata hata UA JEUSI.
sasa najiuliza au sababu ya ugeni jamani

Tuko wengi bro. si wewe peke yako. Hivo ni vitu vidogo sana visikuchukulie mua wako bure. Sikuikirika, utapata wa kukupatia ua.
 
wewe mtumie mtu akujibu
 
Attachments

  • 8207739_f520.jpg
    8207739_f520.jpg
    17.4 KB · Views: 92
Back
Top Bottom