Polisi ben
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 303
- 83
- Thread starter
- #221
nimeanza nini kwani uongo
hamuaminiki nyie!
basi ungejua hakuna afande mwaminifu kaa mm, me hadi rushwa nakataaga.
nimeanza nini kwani uongo
hamuaminiki nyie!
nimeanza nini kwani uongo
hamuaminiki nyie!
we Nanji usijekumuacha kaka angu!
mimi nataka maelezo yaliyoshiba ndio kitaeleweka
nikusamehe bila kupata maelezo ya kujitosheleza? usiporudi ndio tiketi yako ya KUACHWA
hahahahaaaa akili nyingi manoa uhuhuguhuuuu.
Ok haina shida
Wewe anzia huko nami nianzie huku R-Chugga tukutane tutakapokutana. Ponda maisha kifo chaja. Daaaadadeki.
tuanze kulima mazao gani, yanayo vumilia ukame na hali mbaya ya hewa
tutege mizinga ys nyuki c unajua mambo ya asali af tunaajiri wadada tu sifa zao wawe wamevuja ungo.
Passion Lady ukuje hapa shemeji yangu mpenzi uweke mambo safi
ama kweli cku hizi ndoa zimeingia doa, yani vitisho debe hata naweza kupangiwa doria nadhan nitsshindwa kurudi keo.
tutege mizinga ys nyuki c unajua mambo ya asali af tunaajiri wadada tu sifa zao wawe wamevuja ungo.
nishaweka sawa mbona shem!
au Nanji kaweka ngumu?