Polisi ben
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 303
- 83
- Thread starter
- #181
thubutuuuuuu!mie nikimbie
mi mzalendo wa kweli nakufa kishujaa!
sema naogopa laana za kupambana na my dada,vinginevyo ungelia
thubutuuuuuu!mie nikimbie
mi mzalendo wa kweli nakufa kishujaa!
Asante kwa kulijua hilo ndio sababu ya kukutana Mabwe pande!!!
Umeona eee, umenigusa kumoyo sasa naanza kukupa heshima kama my dada kweli ctakutibua tena,,athante thana ththter.
hahahahahkw
kwa kua umeapa kuniheshimu
sina shida na wewe tena nasubiri
harusi yako na huyo nchumba ako!
sema naogopa laana za kupambana na my dada,vinginevyo ungelia
Haya kamanda wangu! mie nipo nipo hapa nimetulia na maafande wenzangu
Lakini hii tabia ya kuanza weekend j,tano unaihujumu nchi bana, hiki kitendo hakivumiliki bana mbona cc wengine hatua cha weekend? smt inaudhi sana.
kama unanipa heshima tuma hyo midola bas
c wanasema heshima pesa shkamoo makelele!
zunguka kwenye pm usiohofu.
jishaue tu na upolisi wako
nitakulipua ww kijana acha kucheza
na sirikali ati!
akha!mi siwezi kupiem
mme wa mtu naogopa minundu hahaa!
ooh! asante kwa kunitambulisha mkuu, bana. Nanji samahani shemu wangu. Naona magamba wamekuachia
mie ndo bulletproof yake we lipua tu utachemka wewe hahahaaaa