Attractive Woman

Attractive Woman

hakutakii mema huyu yaani ungeingia tu ungenikuta mwenyewe sasa kitakachofuata sijui mwenyewe na upolisi wake angeomba msaada wa kikosi cha JWT

mumeo mmbayaaaaaaa!
kumbe alitaka tugongane kunako piemuuuu lol!
 
Hahahahaaaa sawa wifi siingilii nitaingilia pale napohisi unahatarisha afya ya mume wangu c unajua ndo usingizi wangu huo!!! hahahaaa

lazima nimuweke sawa
coz hawa mapolisi hawaaminiki!
 
Oooh kazi ninayo!!! c unaona hata hapo anaandika "Attractive Woman" wkt mie mkewe nipo namsubiria tu arudi home anyooshe maelezo


nisamehe kabla cjaja, usiponisamehe sikuji home.
 
Back
Top Bottom