Naomba kuuliza, hivi vijana wote tusio na ajira na serikali inatuangalia kwa furaha tu mwaonaje tutafute njia mbadala ya kuieleza jamii kuwa tuna shida?Nayaandika haya kwa sababu tupo hatarini kuangamia maana inafika mda unakuta huna kazi ya kufanya hivyo unakuta unaingia katika vishawishi vya ngono na hatma yake inafahamika tu, maana tupo loose sana.
Ushauri:
Tuandamane maandamano ya amani kuonesha hisia zetu kwa serikali ya ccm na jamii kwa ujumla. Najua wengine mtakuja na kujiajili, Ni kwamba hatuna initial capital na Financial Institutions zenyewe masharti kwa vijana kama siye ni vigumu kukidhi.
Tukauze pembe za ndovu, nitafuteni ma graduate waote msiokuwa na kazi kama mm tukauze pembe za ndovu
Angalia usije ukaishia kama ponda!!! Kama Bado haujapata kazi na hauna hela ya mtaji piga hata vibarua vidogo vidogo kuyakabili haya maisha maeneo ya mikocheni kuna viwanda vingi sana nenda kule kaombe tempo upate hela ya kununulia mifuko ya kaki na hela ya nauli ya kumpa mtu wa kukupelekea cv au upate hela ya kununua modem na kujaza bundle kwa ajili ya kutuma cv na kutafuta onlines site sinazotoa matangazo ya ajira.
your gender contributed a lot in ur achievement don u c thatmie sidhani ka kuandamana itakuwa solution, we ka kijana watakiwa ujitambue na ujue what you want, mfano mie after graduation niliondoka dsm ingawa ni ka home huko kwani tuna kibanda huko, nikaenda kaskazini, nikaanza kutafuta makampuni yanayodil na fani niliyosomea,nikawapa cv na kuwaeleza kuwa nina sifa na nataka kazi, nikawapa conditions kuwa wanipe 3 months trial bila salary ila wanipe allowance ya meals na transport then wakiridhika na utendaji wangu watanihire na nikiwadissapoint wanitpotezee, wakakubali coz hata performanc yangu skul ilikuwa mwake, then after a month wakaniajiri.so wewe ka kijana u have to know what you want and how to get it,tupambane kibishi tu pamoja na kuwa smart kwenye area yako ya expertise.ni kweli vijana wengi hawana ajira wala means za kujiajiri na inaumiza wengi but kuandamana hakuwezi izindua hii serikali inafanya mabo kwa kuzima moto tu..............
your gender contributed a lot in ur achievement don u c that
May b bt mie mtendaj mzuri and nimepata offer sehemu nyingine ths wk so its all abt kuji2ma nadhan
King III naomba ufafanuzu vizuri wa hayo makampuni yanayotoa temporary job huko mikocheni.
Kwani si haba kibaba yaweza kupunguza machungu..
Mtendaj mzuri ndio sina dought, na imejulikana baada ya kupata chance ya kufanya rehearsal 4 some dayz o months, sasa nw dayz kigumu nikupata hizo chance na ndicho anachokilalamikia mtoa uzi, maelezo yote kuhusiana na maswala ya kazi unakuta yapo mandeted kwa mlinzi according to mtoa uzi. Ila above all the odds maandamano sidhani km yatatoa output nzuri as desired by waandamanajiMay b bt mie mtendaj mzuri and nimepata offer sehemu nyingine ths wk so its all abt kuji2ma nadhan