Siku hizi bwana harusi anaweza kuchagua mtu/au yeye mwenyewe kuwa mtunza fedha.Kwani hizo pesa walikabidhiwa wao maharusi? Mana najua kamati ndiyo zinakaa na hela kwa ajili ya kufanikisha hilo swala.....au mweka hazina alikuwa bwana harusi.?
Ok basi mie nilikuwa mshamba wa taratibu za zamani......Siku hizi bwana harusi anaweza kuchagua mtu/au yeye mwenyewe kuwa mtunza fedha.
Wamefanya jambo jema sana, sherehe zinakaribisha umasikini tu. Waende wakajijenge maisha yaende!!
Kwani mtunza fedha alikuwa nani??Habari wadau,
Bwana harusi mmoja hapa mtaani kwetu kaacha bumbuwazi baada ya kutoroka na fedha za harusi yake takribani milioni 26..
Kuna madai kwamba deal hili lilichongwa mapema yeye na mkewe mtarajiwa ambao waliamua kutotumia michango yao kufanya sherehe na badala yake wakaamua kutimkia nchini Kenya kufanya biznez..
Wanakamati wanamsaka na RB.