hapa akaze roho amtindue nyoka, nyoka akidondoka chini atamtemea simba mate usoni, ili simba ajiokoe na sumu atakimbilia kwenye maji kuosha sumu, mamba wale lazima watimke wakimuona mzee wa nyika. Jamaa ashuke zake taratibu akipiga mluzi kama ana karanga mfukoni atupie moja moja mdomoni kwa raha zake.
yaani nimecheka sana hasa hapo kwenye kupiga muluzi na kutupia karanga mdomoni!...very interesting kwa kweli...hapa akaze roho amtindue nyoka, nyoka akidondoka chini atamtemea simba mate usoni, ili simba ajiokoe na sumu atakimbilia kwenye maji kuosha sumu, mamba wale lazima watimke wakimuona mzee wa nyika. Jamaa ashuke zake taratibu akipiga mluzi kama ana karanga mfukoni atupie moja moja mdomoni kwa raha zake.
Ye Soya hicho nacho kibarua ujue. Jaribu kuchew karanga huku unapiga mluzi uone hasara yake! Btw am glad leo nimeweka smile usoni kwako:yo:yaani nimecheka sana hasa hapo kwenye kupiga muluzi na kutupia karanga mdomoni!...very interesting kwa kweli...
Hihihuhuhahahahaaah!hapa akaze roho amtindue nyoka, nyoka akidondoka chini atamtemea simba mate usoni, ili simba ajiokoe na sumu atakimbilia kwenye maji kuosha sumu, mamba wale lazima watimke wakimuona mzee wa nyika. Jamaa ashuke zake taratibu akipiga mluzi kama ana karanga mfukoni atupie moja moja mdomoni kwa raha zake.