Pearl
JF-Expert Member
- Nov 25, 2009
- 3,036
- 321
Naomba uniazime Tsh. 300,000 tu nina shida nazo hasa kesho, nitarudisha baada ya ijumaa ya next wk! Help me please. I know you have it. Alisikika mlevi 1 akiiomba mashine ya ATM saa 6 usiku!! Khaa! Ulivyostuka ulifikiri nakuomba wewe, ukaanza kuandaa fiksi za kunitolea nje. I wish you a happy New Year 2011