Pole! Nimekumbuka Harusi ya KatoroMimi nimeweka hela kwenye ACC yangu ya NMB lakini hela siioni!!! kwenye account husika...
Ya siku ngapi wiki, mwezi au mwaka???Hawakukujuza kwa sms yakuwa wanamarekebisho?
CHANGA FIREKumbe ndio haya mambo walisema huduma ni 31.7 sasa hadi leo ATM zina shake