ATM Ya VITABU

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Hizo ATM zinatoa kitabu chochote unachotaka, Huku kwa Waarabu ziko kila corner.....
vipi huko Bongo zimeshafika??????

books atm.jpg
 
Mkuu Boflo, Rangi ya maandishi yako siipendi! Anyway, huku bongo bado tunatumia photocopy machines na scanner pamoja na mitandao kama Googles, scribd na nk.
 
kwa wizi unaofanywa na CCM ni ndoto kufikia hatua hiyo labda wabongo wakishaamka na kuchagua viongozi makini
 
Huko bwn kuna ATM za pesa na za kondomu tu, za vitabu bado kabisa.
 
Back
Top Bottom