Atlas Primary School - Madale, Dar

Mbona kama mnawachekea hao jamani!?
 
Mbona kama mnawachekea hao jamani!?
Sana sana tumewaambia hawasikii,sasa tunaona mwishowe tuseje gombana wakati uwezekano wa kujirekebisha haupo.Hapo ndipo nilichukua uamuzi wa kumhamisha mtoto tu
 
Atlas Madale inatatizo kubwa la KUNGUNI kwenye mabweni ya primary. Tunaomba wizara ya elimu , mkuu wa mkoa na wizara ya afya kuingilia suala hili maana watoto wanateseka na kunguni afya zao huzorota
Sio kwa mabweni ya primary pekee ni shule mzima na ni vita moja wapo iliyowashinda kwa miaka yote ya uhai wao na kwa jinsi wanavyoipigana kibinafsi hawatokuja kuishinda
 
Sijui ni kwanini anakua hasikilizi wateja wake? Jeuri yake cjui inatokana na nini? Ila time is the good judge
Kweli time is good judge, walikuwepo wengi wenye shule imara na kipindi hiki wamefifia.......
 
Sitaki kuamini kuwa wazazi wote mmeshindwa aisee!!!

Ingekuwa ni shida unayoipata mwenyewe ningeelewa. Wazazi..pesa zenu...kweli!???
Irere lya Isembo ni ndeu - Benki ya mjinga ni tumbo lake.
Mndu Kangikunda naware rero Lyako..John 14:23

NACHO CHA RUWA
Mkuu
Mentor
hiki ni kichagga au???
 
Ninafahamiana na Logistics and Transport officers wa pale. Nitafikisha kilio.
Hana uwezo wa kulitatua hilo,bure ni aghali ni msemo tunatakiwa tuwe nao tunapojadili hili
Kutokana na unafuu wa ada ili kuwapa wananchi wengi wa kipato mbali mbali uwezo Wa kusomesha watoto pale atlas na wao kutoa elimu iliyo bora na kwa gharama nafuu, hii imepelekea na wao kutafuta unafuu ktk uendeshaji. Pia tuzingatie kuwa ni miongoni mwa shule chache zenye kufuata Ada elekezi
Hii umewapelekea kutokuwa na magari yao binafsi ya kutosheleza wakitegemea idadi kubwa kukodisha toka nje ya shule, madereva wa magari haya yanafanya yatakavyo
Pia kujaza wanafunzi kwenye vyumba vya madarasa na iliwahi kutokea, wanafunzi wa mikondo miwili kusomea chumba kimoja chenye blackboard mbili
 
aisee wazazi mna heka hekaa... unakaa huko temeke sijui kwa azizi Ally mnasomesha watoto Madale?!!.
tena primary afu day?!!!!
na foleni za dar?
hongereni na poleni.
 
aisee wazazi mna heka hekaa... unakaa huko temeke sijui kwa azizi Ally mnasomesha watoto Madale?!!.
tena primary afu day?!!!!
na foleni za dar?
hongereni na poleni.
Nilishatoa ufafanuz kwenye hili ,sina haja ya Ku kujibu
 
Kuna jirani yangu ana mtoto anasoma Atlas ya Ubungo darasa la sita au la saba, cha ajabu mwanafunzi alikuwa anchukua simu ya dada wa kazi anaongea nayo sana hasa usiku maana analala chumba kimoja na huyo dada, alikuwa anaongea issues za mapenzi. Dada alipombana kwamba anaongea na nani akasema no dereva wao wa gari ya shule. Inaonekana dereva alianza kumuandaa yule mtoto maana ni mrefu kidogo na matiti yashaanza kuchomoza. Kwakweli sikuwa na cha kuongea ila nilimwambia tu huyo dada yao wa kazi amkanye na kumtishia kwamba atamwambia mama yake. Kama wenye shule atapitia jukwaa hili ni vzr akamkanya dereva wake anayechukua watoto wa TABATA KISIWANI ( MAENEO YA MWANANCHI COMMUNICATIONS). Aache hiyo tabia ya kitongoza kitoto cha jirani yangu.
NB: Hii habari niliipata nilipoenda dsm nikitokea Mtwara ,kwani huyo dada alimwambia make l wangu ambaye bado anaishi huko.
 
Watafutie usafiri binafsi, sitaki kuamini kama unashindwa. Maana option bora ya kuwahamisha haiwezekani na unataka kufuata taratibu hatua baada ya hatua.

Hili kwasasa ndilo linasumbua kichwa.. Ila hapa sasa ni uwe na ka corola kao umtafute dereva
 
sijui wtzn tuko je ulipie 860,000 mototo ahudumiwe kama Hotelini kila kitu kina "opportunity cost" Fesa boys kila kitu kipo ada ni 16.5m boarding mpeleke uko ilianawili vzri
Hapo atlas kuanzia msafisha vyoo hadi mkuu wa shule uwa na majibu km haya,angalia huu hamna hata mzazi mmoja ambaye hajatoa lawama juu ya mapungufu yenu,badala ya kuyafanyia kazi malalamiko ya wazazi,mmejawa na majibu ya kijeuri,msitunyime uhamisho tu tutakapokuja kuwahamisha watoto wetu
 

Hili ni janga jingine na c kwa Atlas pekee, ni pamoja na shule nyingi... Madereva wanawafundisha mapenz watoto wadogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…