Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Majirani zangu.
Majina yao ndio ingekuwa vzr wauguzaji wa move mpya😛
'Majina ya nini, hamchelewi ku google nyie, babu ashapendwa msije kumvunjia ndoa yake bure.
Kumbe ndio maana husemi majina yao ili ufukuzie peke yako acha uchoyo ww
Babu kapendwa, ndoa haivunjiki hiyo. Mapenzi ya kweli hayo.
Nina wasiwasi binti kafuata mkwanja...