Ati wewe ungepanga vipi?

Ntumami

Senior Member
Sep 3, 2010
127
23
Jamani nauliza si kwa nia ya kuendekeza ukabila ila kwa ku-consider tabia na experience za makabila, laiti ungepewa kupanga wizara kuendana na makabila ili kuongeza ufanisi wewe ungezipanga vipi?

mimi naanza mfano;
  1. wakurya- wizara ya ulinzi
  2. wazaramo- wizara ya habari
  3. wapare- benki kuu
  4. wachaga- wizara ya fedha
  5. wasukuma- wizara ya ustawi wa jamii
  6. maasai- wizara ya utalii
  7. wahaya- wizara ya mambo ya nje [wangeisifia vizuri sana nchi yetu hawa]


ongeza na ya kwako....
 
Wakerewe na waha- Wizara ya uvuvi.
wizara ya nishati na madini ingekosa watu.
 
Wakerewe na waha- Wizara ya uvuvi.
wizara ya nishati na madini ingekosa watu.

hapo kwenye madini hakika wasukuma wasingekosa!!! nenda mgodi wowote ule nchi hii kama una zaidi ya miaka 2 kuna msukuma wa shinyanga hapo!!!
 
wizara ya viwanda na biashara nitawafikiria wahindi na wapemba
 

hapo namba 2....hata mimi kwenye baraza langu la mawaziri ningewapa hiyo wizara.....wanafaa sana....
 
hivi wanyakyusa wamekosa wizara kabisa....katika baraza hili.....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…