Ntumami
Senior Member
- Sep 3, 2010
- 127
- 23
Jamani nauliza si kwa nia ya kuendekeza ukabila ila kwa ku-consider tabia na experience za makabila, laiti ungepewa kupanga wizara kuendana na makabila ili kuongeza ufanisi wewe ungezipanga vipi?
mimi naanza mfano;
ongeza na ya kwako....
mimi naanza mfano;
- wakurya- wizara ya ulinzi
- wazaramo- wizara ya habari
- wapare- benki kuu
- wachaga- wizara ya fedha
- wasukuma- wizara ya ustawi wa jamii
- maasai- wizara ya utalii
- wahaya- wizara ya mambo ya nje [wangeisifia vizuri sana nchi yetu hawa]
ongeza na ya kwako....