Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,741
Eid sisi tunasherehekea kesho jumamosi Je nyinyi bongo munasherehekea lini? Mkuu utafiti Nimesha kuwa mtu mzima mambo ya Sikukuu ninawachia nyinyi tena vijana.Mkuu wewe unawaza weekend? Eid vipi MziziMkavu?
Sisi wenzako hatuna weekend..ni kuzichanga mwanzo mwisho
Eid sisi tunasherehekea kesho jumamosi Je nyinyi bongo munasherehekea lini? Mkuu utafiti Nimesha kuwa mtu mzima mambo ya Sikukuu ninawachia nyinyi tena vijana.
Wewe bado kijana unafaa kusherehekea sikukuu utafitiMkuu MziziMkavu sisi Jumapili ndio eid huku....umri unaniruhusu mkuu au vipi?
Sisi wenzako hatuna weekend..ni kuzichanga mwanzo mwisho
Hahahahaha lol!!! Anajiremba naye aende kwa mchepuko wake wakajirushe kwa raha zao.