Ati wahadhiri wa UDOM wanapanga kugoma tena??

Kwetu Iringa

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
355
88
Leo asubuhi wakati wa kupitia magezeti ya leo na RFA nimesikia kwenye gazeti la Mtanzania kuwa wahadhiri wa UDOM wanapanga kugoma tena baada ya kikao chao cha jana. Watangazaji hawakuongea zaidi. Je ni kweli?? Na sababu ni ipi?? Tafadhali tujuzeni tulio mbali
 
Hyo isue mwenyewe nimeiskia hapa chuoni,NIKO UDOM.kwan jana ni kweli walikuwa na kikao,na suala la kugoma ni tetes ambazo pia wengne wanazsikia hapa chuoni.ngoja niendelee ku seek chanzo nitawapen wana jamvi .vuta subira.
 
Kwa staffs:
1.Mishahara midogo
2.Kazi nyingi ukiringanisha na mshahara
3.Harsh treatment kutoka uongozi wa juu
4.Net salary kuwa chin kwa kulinganisha na vyuo vingine at the same position.

KWA WANACHUO:
1.kucheleweshewa Boom
2.Kusainishwa boom pungu ya 8000 kwa kila mwanafunzi bila ufafanuzi wa makato
3.Boom kupitia kwa mhasibu wa chuo
4.Viongozi wa wanafunzi kufukuzwa katika mgomo uliopita.
NA MENGINE KIBAO ambayo bado naendelea kutafiti hapa Chuoni.ASANten
 
Wagome tu, nchi yenyewe haina vision hii!! kazi kuwekeana mizengwe kwenye kazi za kitaalamu!! I looking for another University in a foreign country nikipata huko huko mbele kwa mbele!!
 
Kwa staffs:
1.Mishahara midogo
2.Kazi nyingi ukiringanisha na mshahara
3.Harsh treatment kutoka uongozi wa juu
4.Net salary kuwa chin kwa kulinganisha na vyuo vingine at the same position.

KWA WANACHUO:
1.kucheleweshewa Boom
2.Kusainishwa boom pungu ya 8000 kwa kila mwanafunzi bila ufafanuzi wa makato
3.Boom kupitia kwa mhasibu wa chuo
4.Viongozi wa wanafunzi kufukuzwa katika mgomo uliopita.
NA MENGINE KIBAO ambayo bado naendelea kutafiti hapa Chuoni.ASANten

Ahsante Mkuu!!! Kwa hiyo staff na wanafunzi wameungana, yaani watagoma pamoja???
 
A competent person did not strike, let me advice them to resign and find the place where by their net pay will be high and no harsh treatment
 
Wasomi wa Tanzania ni chanzo cha matatizo badala ya kutatua matatizo.
 
Kwa kweli kwa mtu yeyete anayeijua udom lazima atawaunga mkona wanajumuiya ya udom,udom kuna ukatil wa hali ya juu had leo hii zaid ya wanafunz 600 wametimuliwa wakiwemo na viongozi wa serikal ya wanafunz kisa waligoma kudai hak yao ya kwenda mafunzo kwa vitendo.Udom ni km moton
 
Andamaneni Kwa Amani msiogope bunduki zao, msiogope maneno yao na wala msikate tamaa. Ukombozi uu karibu
 
A competent person did not strike, let me advice them to resign and find the place where by their net pay will be high and no harsh treatment

Sasa wewe utawashauri nini wahadhiri? Wewe ndiye unayestahili ushauri kwa kubuni lugha inayofanana na Kiingereza.
 
Naomba kuongezea ni kuwa staffs wanadai malimbikizo ya fedha kama nyongeza ya mishahara yao na students bei ya chakula kupanda ghafra kutoka 1000 hadi kufikia 1500 kwa sahan ya wali nyama.Misosi mingine kuuzwa juu ya Tsh 1500.
 
Hapa Bongo watu wapo radhi wasikie kuna kikundi kinataka kuua mtu kuliko kusikia kikundi fulani wanaandamana au kugoma ili kushinikiza haki zifuatwe!
 
Back
Top Bottom