Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,960
- 11,221
huyo tena kama starehe yake ina nyongeza ya hapo atakuwa ni too much. Hila i like what your willing to do kujifurahishi. Zis iz fantastic you made my day.nadhani mapenzi ni makubaliano ya watu wawili,kuna mwingine anapenda manjonjo mwingine hapendi,mwingine anapenda vilio mwingine hapendi,so unaweza sema wachaga hawajui coz tuliskia wanasema"ukimarisa funika"but for me nikiwa na mpenzi ntafanya vile nafsi yangu inanituma kufanya,kama ni kelele ntapiga mpaka majirani waskie kama ni sarakasi ntaruka mpaka nitoboe celing boad,its pat of refleshment na kutoa stress.so I will enjoy to the fullest,na kama anaona sijui au hataki nifanye hivyo navyofanya beta aniambie anataka nifanye vipi ikiwezekana anifundishe ngoma za kwao.
yani point wife ila makelele yakizidi watapiga chabo sana akuna kabila lisilojua mapaenzi kwani mapenzi si yakabila fulani bali ni ya mtu binafsi na ampendaye na mkifika uwanjani akuna kutegeana ni full mzuka
acha wapige chabo dia kwani mzuka ukipanda si wataenda kuanzisha mechi yao?yani starehe yangu nikatishe kisa chabo zao?wapiiiii!
bora wakaanzishe zakwao badala kufanya mapinduzi bigup dia
raha ya mapenzi furahia mpaka tone la mwisho
Karibu binti! taratibu lakini!oh maimai, wapendwa meamua kujiunga na hii kitu hii manake JF inanipa raha.oooh kwa habari ya wachaga mi naona wanaume wa kichaga ndo bwiii kabisa manake wao wanabaka tuu.hata iwe ndani ya ndoa mapenzi ya njiwa kupetipeti hawawezi.
ukiwa na bf wa kichaga ujue utapelekwa mchakamchaka tu. most of them they dont care unafil aje.once ze mzee asumani is up they need to put it zea hata kama wewe bado. huo ndo ukweli hata kama watapinga
Karibu binti! taratibu lakini!
hahahaha sina haraka lakini,
Karibu binti! taratibu lakini!
tupo kibiashara zaidi, kupetipeti ndo nn? utapata bei gani ukipetipeti?
Huwa hatufanyi vitu visivyo na faida sisi!
Jamani wachaga nimekaa nao 4 hivi sasa namtafuta mhaya;hata kama wanaitwa
mafataki nijaribu...ahsanten sana kwa maoni yenu ila wachaga mmhhhh!!!1labda
Aje mangi mareale
Pamoja na hilo la kuzaliana, wachaga wako juu, wasomi, wasafi, heshima, mchaga asipokuwa na mkewe au mmewe home basi wako kwene makulaji, pombe na nyama, so lovely, kwanza wachaga waaminifu sana, ushawahi kuona maskendo ya ajabu ajabu kwa wachaga? Na uchagani kuna mababy face balaa, tuseme tu ukweli , mwanamke sura bana , makalio hata kwa mchina yanapatikana.....lohKama hawajui mapenzi wasinge zaliana hivyo. Offsprings za wachaga ziko kila pahala, hatasehemu ambayo hutegemei kumkuta mchaga unamkuta.
huyo tena kama starehe yake ina nyongeza ya hapo atakuwa ni too much. Hila i like what your willing to do kujifurahishi. Zis iz fantastic you made my day.
Hebu mwambiesasa mamia hii siyo fare mbona wachaga tu na baadae wahaya na sisi wajaluo na wakuria je?...kwa nini usitujaribu sisi wajaluo kabla ya kumtafuta mhaya na amini utakuwa umemaliza matatizo yako yote...na hopefully utafunga na thread kabisa.