mtuwache tupumue...sasa mnatutakia nini?Hahah thread sio yangu...ila leo nimeamua kuwakalia kooni Wachagga...post yangu ya ushauri nilishaitoa mwanzoni kabisa...
Nadhani Wachaga huwa wanawezana wenyewe...halafu nasikia hata wanaume wa Kichagga maneno mengi mdomoni tu, ila chumbani ni wavivu kama matembele, muda wote yamejilaza tutani tu!!!
well said boss, pole na mzigo wako huoPreta ukweli ni ukweli mi ninaye ndo mama wa Watoto . Kwanza issue ya bed itakumbukwa kwa mbaaali na hata ikifanyika una note kabisa akili haipo pale na hamna juhudi ya kufanya kitu tofauti next time eg staili. Ni kweli hawawajibiki kabisa
Preta ukweli ni ukweli mi ninaye ndo mama wa Watoto . Kwanza issue ya bed itakumbukwa kwa mbaaali na hata ikifanyika una note kabisa akili haipo pale na hamna juhudi ya kufanya kitu tofauti next time eg staili. Ni kweli hawawajibiki kabisa
Hahah thread sio yangu...ila leo nimeamua kuwakalia kooni Wachagga...post yangu ya ushauri nilishaitoa mwanzoni kabisa...
Nadhani Wachaga huwa wanawezana wenyewe...halafu nasikia hata wanaume wa Kichagga maneno mengi mdomoni tu, ila chumbani ni wavivu kama matembele, muda wote yamejilaza tutani tu!!!
Haswaaa nilikua nimesahau kumuita na yeye...leo natoa mafunzo mahsusi kwenu...msisite kuomba na picha
halafu wewe nitafuta urafiki na wewe ... nini kunitukania kaka zangu??
mkuu, nilikutana na muhaya mmoja hapa juzi, alinichosha viungo vyangu, yesuu na mariyaaaa, ila juu ya kujua mchezo ni mtu mwenyewe tu na ufundi (kipaji).Jamani wachaga nimekaa nao 4 hivi sasa namtafuta mhaya;hata kama wanaitwa
mafataki nijaribu...ahsanten sana kwa maoni yenu ila wachaga mmhhhh!!!1labda
Aje mangi mareale
mtuwache tupumue...sasa mnatutakia nini?
watu8 usiseme kabisa hiyo kitu
kila siku wengine tunafundishwa (naomba asipite tu hapa akayaona haya)
hayo makitu yana uzoefu wake
ila naamini wachagga wa siku hizi wengi wanajua
si wengine wanaangalia sehemu mbalimbali mitandaoni
so walau wanakuwa na ujuzi kiasi fulani.
kwa wengine mmmmh.
Kama hawajui mapenzi, ina maana hawana familia? Watoto wanawapataje?
Leo hapa tupo Chaggaland...tunadiskasi katerero ya huko
Kumekuwa na maneno mitaani kuwa wachaga si wazuri kwenye 6x6 na sijawahi kupata ukweli wa tetesi hizi?
Ni kweli wachaga hawajui mapenzi?
Naomba jibu
Usibishe Preta!utajibeba.......ulokote garasha.....uje utuseme wadada wa watu.....nyoooo.......
chagga babes wanakimbiza dunia.........bisha nikuletee facts..........