Diebetic chura!!!! Hapana huyu ni kenge kabisaaaa tena original. Ila anafaa sana kuwa kivutio cha utalii
Wewe polisi wamezuia neno hilo[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Basi ngoja tuiite sukari chura
mkoani kwetu tunaita mpwisaLugha inakuwa kila siku.
Wa mkoani nao wanaitaje...??
wanaita KISAMVU MPIRALugha inakuwa kila siku.
Wa mkoani nao wanaitaje...??
mkoani kwetu tunaita mpwisa
wanaita KISAMVU MPIRA
wanaita KISAMVU MPIRA
Hata hajaficha...wewe tu hela yako unajitwalia kilo kadhaaDada kaficha begi la sukari, Hatari sana sheikh
hahahahaaaaMnaita mpwisa?Hapo mtaukwepa mkono wa polisi.Wamekataza kuyaita "chura".
Habari za siku nyingi dada KhantweHata hajaficha...wewe tu hela yako unajitwalia kilo kadhaa
Sisi wa mikoani tunaita mpododoLugha inakuwa kila siku.
Wa mkoani nao wanaitaje...??
Sisi wa mikoani tunaita mpododo