my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,017
- 2,384
Sasa mtu ameniblock kila sehemu naanza vipi kwenda kwake anaweza ata kunichinjaKimsingi alichoandika hakutaka jibu ndio mana kakublock tena
Kama uko na uhitaji wa kumuuliza nenda ghetto kwake ukamuulize
🙄🙄
Hmmm mbona mi huwa siblock mtu hata itokee tatizo vipi. Halafu alieni block ni kakaHuyo bado anakupenda.
Ukiona mdada /sisi tumekublock ujue bado tuna mapenzi.
Kama hatuna mapenzi huwa tunakupotezea tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah nikamloge? Sababu?
Maana yake utaipata ukitafsiri hayo maneno aliyokuandikiaTumeachana ni week mbili sasa. Tokea tumeachana ameniblock kila sehemu. Leo ameniblokua WhatsApp halafu amenitumia mesej "if I still love you that's my fault" nikataka nimuulize ameemaaanisha nini nakuta ameni block tena mesej haziendi. Ati atakuwa anamaanisha nini?
Huyo bado anakupenda.
Ukiona mdada /sisi tumekublock ujue bado tuna mapenzi.
Kama hatuna mapenzi huwa tunakupotezea tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaap, tafuta dictionary tafsiri word-to-word utajua anamaanisha nini..Tumeachana ni week mbili sasa. Tokea tumeachana ameniblock kila sehemu. Leo ameniblokua WhatsApp halafu amenitumia mesej "if I still love you that's my fault" nikataka nimuulize ameemaaanisha nini nakuta ameni block tena mesej haziendi. Ati atakuwa anamaanisha nini?
Kimsingi alichoandika hakutaka jibu ndio mana kakublock tena