Ati ameniletea zawadi ya miti

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,402
Tokea nizaliwe sijawahi kupewa zawadi kama hii. Huyu kaka sijui anafikiria mimi mzungu mwezake au sijui anafanya makusudi.

Sasa ndio zawadi gani ati ameniletea miti mitatu halafu ananipa maelezo kabsa "nimeitengeneza vzuri hutakiwi kuweka maji kla siku utakuwa unaweka maji kwa wiki mara 1 kwasababu ya weather" πŸ˜‚πŸ˜‚ valentine yte hii zawadi ya miti, kwan mimi mama mazingira.

Mwezi tu nadhani yte itakuwa imekufa maana time ya kufatilia ati leo sku ya ngapi nitie maji sina 😏 mue mnangalia zawadi ya kuwapa rafiki zenu km wanaendana nazo sio tu unanunua km vle umejinunulia mwenyewe.
 
Hongera kwa kuna na nyumba/kiwanja.
Labla ni miti ya hela πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe si ndo ulikuja hapa na kusema kuwa kuwa na mahisiano na mzungu ni raha.! Haya lea hiyo miti hadi ikue, ukifa hata mmoja anakuacha
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bora ata kakuletea miti, wengine hata vijiti hatujaletewa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…