Athumani Idd'Chuji' na Haruna Moshi'Boban' kujitoa stars

Mpaka sasa ni Maximo tu anayeongea na hatujamsikia Chuji na Boban upande wao. Actually mimi ningependelea hawa wawili wakae kimya kwani tunajua what happened in Ivory Coast.

Sina wasiwasi na bandiko lako hapo juu

Nilikuambia usome uliyoyaandika kwa vile umeshindwa kuyasoma nimeyawekea mkazo ili uyaone vizuri. Haiwezekani leo tunaongelea nidhamu ya wachezaji anatokea bazazi mmoja kama wewe unatetea uozo. Watu kama ninyi ndiyo kikwazo cha maendeleo ya soka kwani ndiyo mnaowadanya hawa vijana badala ya kuwarekebisha kwa manufaa yao

Maximo kaitenga timu na hakumchezesha Chuji eti mpaka semi finals kwakuwa alikuwa majeruhi wiki 8. Wakati huohuo cheti cha daktari wa timu kimempa clean bill of health - Chuji anacho hicho cheti. Vilevile Chuji alikuwa na watu wamekuja kumuona live michezo yake na walivyotaka kumuhoji kuhusiana na maswala ya kucheza nje ndipo Maximo akapiga marufuku kuwa hakuna ruksa kuongea na wachezaji bila idhini yake kwanza. Chuji alienda kuomba idhini na Maximo akamtolea nje. Usiku huo hakulala vizuri kiasi kwamba asubuhi alichelewa kuamka na kukosa mazoezi na hapo Maximo akasema Chuji ana utovu wa nidhamu amesusia mazoezi. Wakati huohuo kwenye mazoezi watu wanakwambia Chuji alikuwa mnyama, yaani a beast in practice, akipiga zoezi mpaka watu wanashangaa kwa nini hapangwi?

Baada ya matukio hayo Chuji akawa anajifua sana mwenyewe beach na alisikika akisema yeye sasa anajifua kwa ajili ya timu yake ya Yanga ktk kombe la klabu bingwa Afrika na ndiko ataonekana na kutoka huko. Habari hizi zilipomfikia Maximo ndia ikawa mwisho wa wao kuzungumza, manake hata kusalimiana Maximo hasalimii wala kumjibu!
Maximo has a lot to answer to and the sad fact is that he is being given the benefit of the doubt in this issue. Chuji anaonekana mvuta bangi tu lakini wote tunaopenda mpira tunajua uwezo wake kimpira, Bangi ni nini bwana? It is not even a Performance Enhancing Drug but a "social" drug that is known for ruining ones potential in the long run - for short time relaxation it is da bomb! Peter Tosh said it best - some lawyers, doctors, politicians etc smoke it. Sasa iwe Chuji?!

My suggestion to Chuji and Boban: let sleeping dogs lie!. Muacheni Maximo asemeeee weeee lakini si July anakitoa zake? Kocha anayekuja si atachagua timu yake bwana na si atawaona mchezo wenu?

Stay cool, my brothers, stay cool!!!!

Nadhani kila mwenye macho ataona uliyoyaandika na kujaji kwa uwezo wake. Si wakati wa kulea nidhamu mbovu na kuhalalisha utovu kwa kisingizio kisichokuwa na mbele wala nyuma. Mchezaji hatakiwi kuvuta bangi'period'
 
TFF happy with Maximo approach

2009-03-08 10:22:39
By Fred Ogot


The Tanzania Football Federation (TFF) President, Leodegar Tenga, said last year that Marcio Maximo is the best coach he has ever encountered.

A factor which makes the TFF boss respect the tactician is about the Brazilian`s secrecy and professional way of handling issues.

Tenga said that unlike previous Taifa Stars` coaches, Maximo has never disclosed any problems of the team to the press or public.

``It doesn`t not mean that the team do not have problems. They have a lot of problems but you will never hear him complaining.

Sometimes the team lack sports gear, but he never complains. Sometimes payment of his salary is delayed but he never complains,`` Tenga said.

Last year during the 2010 World Cup-cum-Africa Cup of Nations qualifying match, he dropped number one goalie Juma Kaseja, without giving proper reasons.

A section of the soccer loving public pressed for the custodian`s reinstatement but the coach stuck to his guns, saying that was out off form.

It was alleged that Maximo dropped him because he celebrated when Senegal defeated Tanzania 4-0 in the first leg match in which Ivo Mapunda was the goalie.

On Friday, he also dropped Stars key players in his squad - Athumani Idd and Haruna Moshi - who misbehaved in Ivory Coast when the team competed in the new biennial African Football Confederation (CAF) tournament, restricted to footballers playing in their homeland known as CHAN.

The two players refused to board the same bus with others when the team arrived at the Nyerere International Airport.

When Maximo was asked by the media why he did not field the duo, he claimed that the players lacked commitment, concentration and did not follow his training programme.

The truth was that the duo were alleged to be marijuana smokers, which could have resulted in the team`s disqualification, had they undergone a doping test.

The way Maximo is handling these issues indicates that he is a good coach who does not want to underrate and embarrass his players, but solves problems amicably and professionally, instead.
 
Whatever, mkuu, you are entitled to your own opinion just as I am entitled to mine.

Hivi hudhani kuwa wewe kupinga niliyoandika unaquestion my right to my own opinion?

As I said before, man, kaazi kwelikweli!!
 
Whatever, mkuu, you are entitled to your own opinion just as I am entitled to mine.

Hivi hudhani kuwa wewe kupinga niliyoandika unaquestion my right to my own opinion?

As I said before, man, kaazi kwelikweli!!

Uhuru wa kuhoji unao, lakini sitakaa kimya nikuachie kutetea ujinga, bangi kwa wachezaji marufuku. Na kama utaendelea kuitetea basi rejea thread yangu hapo awali kwamba nikuelewe kuwa na wewe ndivyo ulivyo.
Uvivu, utovu wa nidhamu, kutofuata maelekezo vinatosha kabisa kuwapiga chini waachezaji. Tumekuwa tukishindwa kupiga hatua na kufikia viwango vinavyokubalika ni kwa sababu kuna makundi ndani ya wadau wa soka ambao wanawashauri vibaya hawa vijana. Leo hii hawa vijana wakisikia kuwa kuna watu wanatetea uvutaji bangi, kutomtii mwalimu unadhani unawatakia mema?
Uhuru wa kutoa mawazo yako pia uendane na haki na wajibu wako katika jamii unayoishi.
 
Uhuru wa kuhoji unao, lakini sitakaa kimya nikuachie kutetea ujinga, bangi kwa wachezaji marufuku. Na kama utaendelea kuitetea basi rejea thread yangu hapo awali kwamba nikuelewe kuwa na wewe ndivyo ulivyo.
Uvivu, utovu wa nidhamu, kutofuata maelekezo vinatosha kabisa kuwapiga chini waachezaji. Tumekuwa tukishindwa kupiga hatua na kufikia viwango vinavyokubalika ni kwa sababu kuna makundi ndani ya wadau wa soka ambao wanawashauri vibaya hawa vijana. Leo hii hawa vijana wakisikia kuwa kuna watu wanatetea uvutaji bangi, kutomtii mwalimu unadhani unawatakia mema?
Uhuru wa kutoa mawazo yako pia uendane na haki na wajibu wako katika jamii unayoishi.
hivi jamani hili swala la watu kuvuta bangi mbona halijawa proved mahala popote???na kama kweli wanavuta ina maana walianza kuvuta baada ya kukwalifai kwenye CHAN???MIMI SITAKUBALIANA NA MAXIMO HADI PALE ATALKAPO TAMKA HADHARANI SABABU ZA KUWATOSA!!NI UTOVU UPI WA NIDHAMU???HE MUST BE CLEAR.mie naona anawafa wachezaji kuwa waoga wa kuhoji kitu chochote hata kama maximo atakuwa wrong.kwa sababu atakutimu kwenye timu na hakuna atakayehoji,kwasababu ameshatukalia kichwani na hata hao waliomwajiri wanamuogopa.ataunda kikosi kipya hadi lini??????alipeleka timu brazil kwa mwezi tukarudi tukalimwa 4 na senegal!!hatukuweka kambi ya muda mrefu kwenye mechi zilizofuata,tukafanya vizuri kidogo.mechi ya mwisho dhidi ya msumbiji,tuliweka kambia kama 3weeks,tukachemsha,kufuzu kwenda angola na south africa,mechi za mwanzoni tulichemsha baada ya wachezaji kukaakambini na maximo kwa almost mwezi.zilizofuta kambi ilikuwa max. 1week,na timu ikafanya vizuri.Hapo tunagundua kuwa makocha wazuri wako kwenye clubs,!maximo nachohitaji ni just kwafanya wacheze kitimu na kumaitain nidhamu(kitu ambacho ameshindwa,mtu akikosa badala a kumrekebisha,yeye anakimbilia kumfukuza au kumchimba mkwara)IN SHORT HE IS A FAILURE,NA TUNAKOELEKEA NI KUWA ATATUVURUGIA SOKA LETU NA KUVUNA MSHIKO WAKE NA KUTIMUA.
anadai anataka wachezaji wa tz wakacheze ulaya,wangapi wameende tangia atue tanzania??chukulia mfano wa Rwanda na burudi,makocha wao wamefanikiwa kuwapeleka wachezaji kibao ulaya within a short time,ina maana jamaa wanamuundo mzuri wa soka kuliko sisi??lahasha.MAXIMO HANA UPENDO NA NCHI YETU KAMA ANAVYONADI(kwanza ana sababu gani za kuwa na uchungu)INANIUMA SANA NINAVYOONA WATANZANIA TUNAFUNGUKA MACHO BAADA ya KUIBIWA..............TAIFA STARS SIO TIMU YA MAXIMO,NI YETU WATANZAIAN NA ANALIPWA NA HELA YETU YA KODI,SO INABIDI AWE ANAELEZA KINAGAUBAGA KISA NA MKASA WA KINACHOENDELEA KATI YAKE NA WACHEZEJI NA MALENGO YAKE,SIO KILA SIKU KUFUKUZA WACHEZAJI NA KUUNDA TImU MPYA.THEN SIE TUNAKAA KIMYA NA KUMSUPORT,HATUTAKI KIBURI CHAKO HAPA
 
Back
Top Bottom