einstein newton
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,969
- 2,685
Siku hizi una hekima mkuu...Mtu anaamini Mungu ni mjuzi wa kila kitu ila et kuna watu Mungu hajui hatima zao kwa sababu hao watu hawajajikabizi kwake hivyo Mungu hajui hatima zao,sasa hapo utasemaje Mungu anajua kila kitu!
Kitu Cha kuchekesha zaidi kuhusu hii mijadala ni kwamba watu wa dini zote tena zinazokinzana huungana na kumshambulia Atheist kwa Hoja zilezile za kizamani zisizokua na Mashiko yoyote Wala factsBora Atheists hawajui wanachokitafuta kuliko nyinyi huyo mungu wenu hana msimamo haeleweki Kila siku anabadilisha sheria mpk watu hawajui washike lipi
Umeongea facts kabisa yaan Kila kundi linajiona bora kuliko lingineKitu Cha kuchekesha zaidi kuhusu hii mijadala ni kwamba watu wa dini zote tena zinazokinzana huungana na kumshambulia Atheist kwa Hoja zilezile za kizamani zisizokua na Machiko yoyote Wala facts
Wanasahau kuwa hata wao wenyewe wanapingana
Assume Sasa Atheist kaamua kukubali Sasa kuwa Mungu yupo na anataka awe muumini mzuri wa huyo Mungu ili aurithi huo uzima wa Milele
Bro guess what?...."World war 3" itatokea
Kutazuka mjadala mwingine mkali kuwa yupi yupo sahihi Kati yao
Mwengine watamwambia akabidhi Maisha yake kwa Yesu,mwana pekee wa Mungu
Hapa wenzake watambishia,"Sio Yesu,ni Issa bin Mariam na Ni nabii tu,Njoo kwenye Uisalam dini ya haki"
Akikubali kuwa Ukristo ndio dini ya haki hivyo atampa Yesu Maisha yake....hapa pia watagawanyika Kuna watakao taka awe Roman Catholic,wasabato watakuja jua pia na kuanza kupingana na Roma
Nyie ni waabudu shetani....mnaabudu sanamu hamfai
Wakati hao wanaendelea kubishana Jehovah witnesses watamshika mkono na kumpeleka pembeni
Bwana Eeh,fata njia yetu ila yesu Sio Mungu,ni malaika Aliyeumbwa na Mungu
Hapa waislam watadakia,"Sasa we kafiri ulikataa nini, si tulikwambia yesu sio Mungu,Njoo kwetu
Hapa Sasa itazuka Vita nyingine Kati ya Shia na suni
Kwanini Kuna Mkanganyiko mkubwa ivyo
Soma Hoja inaitwa "Argument from inconsistent beliefs"
Na nyingine "Argument from Locality"
Utagundua kwanini Wasomi na wenye hekima wengi ni Atheist
NB:Mwenye Uzi Eeh?...unaweza ibandika hii comment hapo Juu...ili watu pia waone maoni ya Atheist Juu ya swali lako
Atheist hajui anachotafuta, kwasababu Hakuna Cha kutafuta
Asante
Suala la uwepo wa Mungu si jambo lenye kuhusu tu mpangilio wetu wa maisha kama hiyo mifano uliyotoa,maana kama ingekuwa hivyo basi huyo Mungu angefanywa wa kuonekana na sio kama sasa kwamba haonekani.Matendo mema sio tafsiri ya uwepo wa Mungu.
Ipo hivi, uwepo wa Mungu ni project kama ilivyo project ya kuweka mipaka na kugawa majina yaa nchi.
Au kama ilivyokua project ya kuunda herufi na kuzipa majina
Au kama ilivyokua project ya kuunda namba na mengi kadharika.
Ukiangalia lengo la hayo yote, ilikua ni kuifanya dunia iishi kwa utamaduni mmoja.
Nitaendelea....
Atheist wote hawaendi mbinguniKiukweli wanaojiita hawaamini uwepo wa Mungu hawajui wanachokitafuta.Na shida ni kwamba wanaowajibu pia hawajui wanachokijibu.
.
Uwepo wa Mungu upo ndani ya Mtu. Na ili Mungu awepo kwako ni lazima utimize mapenzi yake.
Sasa inashangaza anatokea kiumbe anasema " Mungu hayupo" na kwa wakati huo hatimizi mapenzi ya Mungu na wala hajishughulishi kuyajua mapenzi ya Mungu Bali anafuata mapenzi yake mwenyewe.
Halafu wanatokea watu wanaowajibu kuwa Mungu yupo,huku watu hao wakiwa hawayatimizi mapenzi ya Mungu yaani na wenyewe wanafuata mapenzi yao tu!
Mungu anadhihirishwa kwa matendo mema na kuishi vyema. Wote tunaoamini uwepo wa Mungu tungeishi kwa mapenzi ya Mungu hawa wanaojiita Atheists wala hata tusingewasikia.
Tujitahidi jamani kuwasaidie wenzetu kwa matendo yetu mema na upendo ili tuwajibu kwa tunayoyafanya.
Na kizuri zaidi tunajua Cha kufanya yaani tumpende Mungu,tujipende na kuwapenda wote Kama tujipendavyo
Sijawahi kukukosa hekima mkuu labda iwe kwamba kutofautiana mawazo na wewe ndiyo kukosa kwangu hekima.Siku hizi una hekima mkuu...
Wakati wewe unasema Mungu anabadilisha badilisha sheria wenzio wanaona hizo sheria ni za kizamani haziwezi kutumika tena zama hizi,inaonesha kweli hamjui mnachokitafuta.Bora Atheists hawajui wanachokitafuta kuliko nyinyi huyo mungu wenu hana msimamo haeleweki Kila siku anabadilisha sheria mpk watu hawajui washike lipi
Hii theory uliyoandika nliifikiriaga nkiwa na umri mdogo sanaKitu Cha kuchekesha zaidi kuhusu hii mijadala ni kwamba watu wa dini zote tena zinazokinzana huungana na kumshambulia Atheist kwa Hoja zilezile za kizamani zisizokua na Mashiko yoyote Wala facts
Wanasahau kuwa hata wao wenyewe wanapingana
Assume Sasa Atheist kaamua kukubali Sasa kuwa Mungu yupo na anataka awe muumini mzuri wa huyo Mungu ili aurithi huo uzima wa Milele
Bro guess what?...."World war 3" itatokea
Kutazuka mjadala mwingine mkali kuwa yupi yupo sahihi Kati yao
Mwengine watamwambia akabidhi Maisha yake kwa Yesu,mwana pekee wa Mungu
Hapa wenzake watambishia,"Sio Yesu,ni Issa bin Mariam na Ni nabii tu,Njoo kwenye Uisalam dini ya haki"
Akikubali kuwa Ukristo ndio dini ya haki hivyo atampa Yesu Maisha yake....hapa pia watagawanyika Kuna watakao taka awe Roman Catholic,wasabato watakuja jua pia na kuanza kupingana na Roma
Nyie ni waabudu shetani....mnaabudu sanamu hamfai
Wakati hao wanaendelea kubishana Jehovah witnesses watamshika mkono na kumpeleka pembeni
Bwana Eeh,fata njia yetu ila yesu Sio Mungu,ni malaika Aliyeumbwa na Mungu
Hapa waislam watadakia,"Sasa we kafiri ulikataa nini, si tulikwambia yesu sio Mungu,Njoo kwetu
Hapa Sasa itazuka Vita nyingine Kati ya Shia na suni
Kwanini Kuna Mkanganyiko mkubwa ivyo
Soma Hoja inaitwa "Argument from inconsistent beliefs"
Na nyingine "Argument from Locality"
Utagundua kwanini Wasomi na wenye hekima wengi ni Atheist
NB:Mwenye Uzi Eeh?...unaweza ibandika hii comment hapo Juu...ili watu pia waone maoni ya Atheist Juu ya swali lako
Atheist hajui anachotafuta, kwasababu Hakuna Cha kutafuta
Asante
Edition:Iblis Bin Shetan amekuwa wa Kwanza ku like hii comment
[emoji23][emoji23][emoji23] Mpaka shetani kapenda
No sorry...Hakuna shetani
Kwa waumini wenye mioyo migumu tu,na wanaopenda kuchallenge imani Yao
SOMA HIOOO
"Argument From Inconsistent Revelation/Avoid the wrong Hell problem"
Source: Wikipedia
Tahadhari:Atheists hatutahusika na upotevu wowote wa Imani yako
READ AT YOUR OWN RISK
All in all i believe Mungu yupo lakini siwezi hangaika eti ni prove uwepo wakeKitu Cha kuchekesha zaidi kuhusu hii mijadala ni kwamba watu wa dini zote tena zinazokinzana huungana na kumshambulia Atheist kwa Hoja zilezile za kizamani zisizokua na Mashiko yoyote Wala facts
Wanasahau kuwa hata wao wenyewe wanapingana
Assume Sasa Atheist kaamua kukubali Sasa kuwa Mungu yupo na anataka awe muumini mzuri wa huyo Mungu ili aurithi huo uzima wa Milele
Bro guess what?...."World war 3" itatokea
Kutazuka mjadala mwingine mkali kuwa yupi yupo sahihi Kati yao
Mwengine watamwambia akabidhi Maisha yake kwa Yesu,mwana pekee wa Mungu
Hapa wenzake watambishia,"Sio Yesu,ni Issa bin Mariam na Ni nabii tu,Njoo kwenye Uisalam dini ya haki"
Akikubali kuwa Ukristo ndio dini ya haki hivyo atampa Yesu Maisha yake....hapa pia watagawanyika Kuna watakao taka awe Roman Catholic,wasabato watakuja jua pia na kuanza kupingana na Roma
Nyie ni waabudu shetani....mnaabudu sanamu hamfai
Wakati hao wanaendelea kubishana Jehovah witnesses watamshika mkono na kumpeleka pembeni
Bwana Eeh,fata njia yetu ila yesu Sio Mungu,ni malaika Aliyeumbwa na Mungu
Hapa waislam watadakia,"Sasa we kafiri ulikataa nini, si tulikwambia yesu sio Mungu,Njoo kwetu
Hapa Sasa itazuka Vita nyingine Kati ya Shia na suni
Kwanini Kuna Mkanganyiko mkubwa ivyo
Soma Hoja inaitwa "Argument from inconsistent beliefs"
Na nyingine "Argument from Locality"
Utagundua kwanini Wasomi na wenye hekima wengi ni Atheist
NB:Mwenye Uzi Eeh?...unaweza ibandika hii comment hapo Juu...ili watu pia waone maoni ya Atheist Juu ya swali lako
Atheist hajui anachotafuta, kwasababu Hakuna Cha kutafuta
Asante
Edition:Iblis Bin Shetan amekuwa wa Kwanza ku like hii comment
[emoji23][emoji23][emoji23] Mpaka shetani kapenda
No sorry...Hakuna shetani
Kwa waumini wenye mioyo migumu tu,na wanaopenda kuchallenge imani Yao
SOMA HIOOO
"Argument From Inconsistent Revelation/Avoid the wrong Hell problem"
Source: Wikipedia
Tahadhari:Atheists hatutahusika na upotevu wowote wa Imani yako
READ AT YOUR OWN RISK
Sheria gani amebadilisha ?Bora Atheists hawajui wanachokitafuta kuliko nyinyi huyo mungu wenu hana msimamo haeleweki Kila siku anabadilisha sheria mpk watu hawajui washike lipi
Ndio anajua,lakini mimi sijui nini hatma yangu.Ndio hujui ila si unajua kua mungu anajua hatma yako??
Sasa kwakua hujui nini hatma yako ukaamua kutosali je utakua umeenda tofauti na alivyoona mungu katika hatma yako???
Unauliza maswali ya kitoto sana. Mola wetu anajua hata kile ambacho hakipo laiti kingekuwepo anajua vipi kingekuwa.hapa utakimbia wewe kijana , Mungu wako anajuaje toka mtu akiwa tumboni kwa mama yake kuwa huyu wa motoni au peponi amejuaje wakati ata mtu kuzaliwa bado ?
Kama anabadilika badilika basi hayupo perfect.
Sijabadilisha chochoteUnajibu kwa kukurupuka hujui hata mantiki ya hilo swali nililokuuliza na sizani kama umelielewa
Mimi sijazungumzia kubadilika kwa maono au lah, na ndio maana nilikua nasisitiza kuuliza kua kama naye anatabia ya kukosea ili niweze kujenga hoja kupitia jibu utalonipa
Nimeuliza kama mungu anajua kila kitu na hakuna kitu utachokifanya leo hii kikawa kigeni machoni mwake kwasababu yeye ni mungu asiyekosea alichokiona ni lazima kiende sawa sawa. Sasa wewe leo hii ukiamua kutoenda kanisani au msikitini utakua umebadilisha chochote katika ujuzi wake kuhusu hatma yako???
Kama anajua kuwa naenda motoni basi ameshajua kuwa nitaacha ibadaMungu akijua kua utaenda motoni, wewe ukiwa unafanya ibada kwasababu hujui alilolipanga mungu juu yako hakubadilishi chochote
Nini maana ya kujificha?mfano mkuu ukiulizwa kwanini Mungu ameamua kujificha kabisa na hakuna ambaye amewahi kumuona.
Hilo ni moja ya swali la.kiranga
Hebu tupe wewe jibu sahihi sio tu ujibu swali tupe jibu sahihi na uthibitishe pia mkuu
Note : am not an atheist
Ndio anajua,lakini mimi sijui nini hatma yangu.
Kwanza kutokusali ni kwenda kinyume na maamrisho ya Mola muumba,kwahiyo tayari unakuwa umeshajichagulia njia ya upotevu.
Nitakuwa nimeenda vipi tofauti na anacho kiona Mola wakati sikijui mzee ? Ili swali lako liwe la kweli inabidi uniambie hicho anachokiona Mola kwangu mimi n kipi na hakiwezi kuwa zaidi ya kimoja,kinyume chake hapo hakuna swali.