ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 11,016
- 9,722
Kwahiyo kwa akili yako kila unalolisema basi ni sehemu ya imani yako ?, nimekwambia wazi nimetumia maandiko yale ili kupinga hoja yako mfu eti uthibitisho wa Mungu yupo ni AYA za Quran, lakini ukitolewa AYA Yesu ni kweli amesulubiwa na kufufuka uzitaki , ebu elewa hili jambo dogo hili , ama kuhusu chanzo hayo ni matatizo yako kila kitu kinasababu yake ya kutokea , kajifunze neno "CAUSE" sio " SOURCE" labda unaweza elewa , kuhusu kuku na yai , kuku ndio utoa yai mbona hiko wazi , ata mbegu hurutubishwa na kuwa mtoto ajabu iko wapi, yai kutoa mtoto wakati mbegu hurutubishwa muleNacheka sana. Unapotatua jambo huwa unaangalia nini ? Chanzo cha tatizo au sababu ya kutokea tatizo ? Na ipi tofauti kati ya "sababu" na "chanzo" au kwako wewe tamko "chanzo" halipo ?
Husemwa hivi,kila sababu ina chanzo lakini si kila chanzo kina sababu.
Kati ya Yai na Kuku lipi huanza ? Jibu swali,usikimbie swali hili.
Hivi kule nilipokuuliza kwamba unakubali kama kuna mwanzo,baada ya kusema Yesu ndio Alfa na Omega ? Kisha nikakuuliza una maanisha au ulikuwa una wanukulia Wakristo ? Sikuona unajibu swali hili ? Au kama umejibu naona nikumbushe.
https://sw.oxforddictionaries.com/ufafanuzi/shahawaKijana vingekuwa tofauti usinge kuta tamko shahawa kwenye maana ya manii wala tamko manii kwenye maana ya shahawa. Huelewi wapi ?
Yaani mfano,ukute meza kwenye maana a kiti na ukite kiti kwenye maana ya meza. Hili halipo kijana,na jambo liko wazi.
Niwekee maana ya Shahawa na Manii kutoka katika Kamusi uliyo toa,yaani piga picha tuone,usitumie maana niliyokuwekea kwani iko dhdi yako.
Nasubiri picha ya kitabu ulipo toa maana ya SHAHAWA na MANII. Tuone maana mkiachiwa ndio mnazidi kudandia mambo na kuwa wajinga.
Huwezi kuthibitisha mungu kwasababu hayupo, hizo blah blah hazina msaada wowote kama kivuli cha fimboNasubiri majibu ya maswali yangu,ili tuendelee.
Atakupa AYA ndio uthibitisho wake ahahaahahaaaaaaaHuwezi kuthibitisha mungu kwasababu hayupo, hizo blah blah hazina msaada wowote kama kivuli cha fimbo
Nacheka sana. Jambo ambalo lina sifa gani ? Ni zipi sifa kutokuwepo kwa jambo fulani au kitu fulani ?Huwezi kuthibitisha mungu kwasababu hayupo, hizo blah blah hazina msaada wowote kama kivuli cha fimbo
Nilimwambia hizo riwaya peleka msikitini sio hapaAtakupa AYA ndio uthibitisho wake ahahaahahaaaaaaa
Hii tabia ya kupayuka bila fact peleka huko kwa wavaa madera hapa nataka factNacheka sana. Jambo ambalo lina sifa gani ? Ni zipi sifa kutokuwepo kwa jambo fulani au kitu fulani ?
Unaweza kujua kutokuwepo kwa jambo fulani kabla ya kuwepo kwake ?
Hay maswali menginw haya,ambayo ni magumu kwenu. Ukijibu maswali haya naacha kutumia hii Id.
Nilishasema na hapa natilia mkazo siendi mbele mpaka ujibu maswali niliyo kuulizaHii tabia ya kupayuka bila fact peleka huko kwa wavaa madera hapa nataka fact
Thibitisha mungu yupo
Huendi mbele kwasababu huwezi kuthibitisha, huwezi kwasababu hayupoNilishasema na hapa natilia mkazo siendi mbele mpaka ujibu maswali niliyo kuuliza
Sababu watoto huwa tunawatia adabu,ni kuwa sitajibu chochote baada ya hapa,mpaka pael utakapo jibu maswali yangu.
Nipo .....
Nimekuongezea maswali na nakupa miaka yote hutaweza kujibu maswali niliyo kuuliza.Huendi mbele kwasababu huwezi kuthibitisha, huwezi kwasababu hayupo
Nimekuongezea maswali na nakupa miaka yote hutaweza kujibu maswali niliyo kuuliza.Huendi mbele kwasababu huwezi kuthibitisha, huwezi kwasababu hayupo
Nimekuongezea maswali na nakupa miaka yote hutaweza kujibu maswali niliyo kuuliza.
Nipo ....
Sawa.Huendi mbele kwasababu huwezi kuthibitisha, huwezi kwasababu hayupo
ThibitishaNani alikwambia kuna mtu wa mwanzo ?watu wapo kama walivyo hakuna wa mwanzo wala wamwisho
Umeliona jibu lake? π π π Ujinga mzigo kweli kweliKaka umeuliza swali sana,heshima kwako.
Akikujibu nistue. Ila ujue nini mimi hawa jamaa kuna muda huwa nawauliza maswali sio lengo wanijibu sababu huwa najua hawawezi kujibu,ila nafanya hivyo kwa sababu kuu mbili :
1. Kwamba katika kujaribu kujibu huenda wakaona majibu na ukweli au
2. Kuonyesha ujinga wao ni wapi ulipo.
Haiwezi kua sawa bila kuthibitisha mungu yupoSawa.
Utaratibu ni ule ule,nimekujibu "sawa" yaani nimekupuuza.Haiwezi kua sawa bila kuthibitisha mungu yupo
Thibitisha mungu yupo
Kama unavyoona hakuna wa mwanzo wala wa mwisho , huu ni uthibitisho tosha , wewe kama unamjua mtu wa mwanzo mleteThibitisha
Kila swali limejibiwa kama limesahaulika uliza tena , hapa ndio mahali pake alipiti swali , sawa kakaUmeliona jibu lake? π π π Ujinga mzigo kweli kweli
Bado hujathibitisha hoja yako. Naomba uthibitishe ukisemacho, sio porojo. kwa kuwa sijamuona Babu yangu aliemzaa babu yake baba haimaanishi kuwa hakuwepo.Kama unavyoona hakuna wa mwanzo wala wa mwisho , huu ni uthibitisho tosha , wewe kama unamjua mtu wa mwanzo mlete