Wewe kama ntakuwa sijakosea, utakuwa ni mkiristo. Sijakujibu kwa sababu umeuliza swali, nimekujibu kisahih kabisa.
Sasa ngoja nikwambie kwanini Mungu hajajificha na ni kwamba hatuna uwezo wa kumuona;
Quran 6:103 Allaha anatwambia ivi : 103. "Macho hayamfikilii bali Yeye anayafikilia macho. Naye ni Mjuzi, Mwenye khabari " na ndio hatumuoni.
Kujificha maana yake nini?Mungu anajificha kwa binadamu aliyemuumba anaogpa nn vita au nn
Hakutaka niijue siku ya kufa
Kukificha maana yale kutoonekana kabisa hata kwa vipimo vya kitaalamKujificha maana yake nini?
Nani Mwoga?Kwa nn ni mwoga
Umetoa tafsiri ya "kujificha" kwenye kamusi ipi?Kukificha maana yale kutoonekana kabisa hata kwa vipimo vya kitaalam
Swali zuri,kuna mjinga mmoja nilimuuliza swali kama hili hakujibu.Kujificha maana yake nini?
Hawa jamaa wajinga sana,maana za maneno huwa zinawashinda.Umetoa tafsiri ya "kujificha" kwenye kamusi ipi?
Huwa wanapenda kujitia ujinga, huyo mmoja apo juu imebidi nimuulize hio tafsiri kaitoa wapi 😀 Wanageuza maana ili ziwakidhi watakavyo.Swali zuri,kuna mjinga mmoja nilimuuliza swali kama hili hakujibu.
Hawa huwa wanakariri ujinga wa wakubwa zao.Huwa wanapenda kujitia ujinga, huyo mmoja apo juu imebidi nimuulize hio tafsiri kaitoa wapi 😀 Wanageuza maana ili ziwakidhi watakavyo.
😀 😀 ndio dawa hio. Maana wanajidai kutumia njama ye kujibu swali kwa swali. Yaani hata pasipostahili kutumika hio kanuni basi wao wanalazimisha.Hawa huwa wanakariri ujinga wa wakubwa zao.
Sasa hivi nimeanzisha mtindo ili na wao wawe sasa wanatumia akili zao vizuri.
Nawajibu maswali yao,nahakikisha mpaka wanajihukumu wenyewe na asipo jibu maswali ninayo muuliza hakuna kuendelea nukta nyingine mpka ile iishe.
Na maswali huwa hawajibu kabisa.😀 😀 ndio dawa hio. Maana wanajidai kutumia njama ye kujibu swali kwa swali. Yaani hata pasipostahili kutumika hio kanuni basi wao wanalazimisha.
Umeshindwa kukiri kua huwezi kuthibitisha mungu yupo??Tatizo mnakariri!
Ni ajabu swali likajibiwa kwa swali?
Mathalani ukijibu utapungukiwa na nini?
Acha kukariri! Wewe thibitisha Mungu hayupo tutaendelea.
Mnawapa uvivu wa kuwajibu sio kwamba hawatakiSwali zuri,kuna mjinga mmoja nilimuuliza swali kama hili hakujibu.
Inaonekana hukumakinika ulipokuwa unajiandaa kujibu hoja yangu.Kwanini mnauliza maana ya kujificha wakati mnafahamu hakika ya maana yake..?
Sio lazima kila mtu afuate imani yako... Huna haja ya kumhubiria mtu ambacho unaaminiMkuu baki na imani yako na jichimbie zaidi katika kuamini kile ukiaminicho kamwe usimwamini mtu uwe na mizizi kwenye kile unachokiamini la sivyo utayumbishwa sana
Usimhukumu mtu kwa imani yake bali mweleze uzuri waimani uloiamini pengine waweza kumvuta na kufuata imani yako
Kama point zipo hofu inatokea wapi sasa?Umeshindwa kukiri kua huwezi kuthibitisha mungu yupo??
Kwasababu umeshindwa kukiri kua huwezi kuthibitisha mungu yupo na huwezi kukubali kua umeshindwaKama point zipo hofu inatokea wapi sasa?
Au umekariri? Kwamba lazima aanze nami nimalizie kwa maswali?
We thibitisha Mungu hayupo tuendelee na mjadala.
Inaonekana hukumakinika ulipokuwa unajiandaa kujibu hoja yangu.
Kwa akili yako hata kama ni mjinga mtu kiasi gani,unawezaje kumnasibisia Muumba na sifa au kitendo cha kujificha ? Vipi hili ni sawa kwake ?
Ewaaa! Sasa umekuja! Na tutamjua ni nani aliyekariri baina yangu na yako.Kwasababu umeshindwa kukiri kua huwezi kuthibitisha mungu yupo na huwezi kukubali kua umeshindwa
basi kupitia reaction yako nimejiongeza kua huwezi kuthibitisha ni kwasababu wengi wenu mmekaririshwa na sio kosa lako, hilo nimemaliza sina mjadala nalo tena
Sasa kwakua unataka uthibitishiwe kua mungu hayupo nataka uniweke wazi mungu yupi unayemkubali, Kuna allah yawe, yehova nk?