Huna hoja ya kielimu,unapoteza muda tu.Hujaeleza nini maana ya neno "hai"
Hujafafanua unawezaje kujua hiki ni kiumbe katika uhalisia
Hujaeleza Misingi ya lugha gani inasema hakuna kiumbe kisicho hai???
Ukishindwa mara ya kwanza basi yapili fanya makusudi, kujifanya unajua kila kitu sio mchongo kujifunza hauna budi
Unazidi kuharibuHuna hoja ya kielimu,unapoteza muda tu.
Ukipata majibu ya maswali yangu,uje kujibu kisha nikupe ufafanuzi wa majibu niliyo kupa baada ya wewe kutaka huo ufafanuzi.
Nacheka sana,hivi hata swali ulilo uliza inaonekana hukujua linataka nini.Unazidi kuharibu
Hujaeleza nini maana ya neno "hai"
Nacheka sana,hivi hata swali ulilo uliza inaonekana hukujua linataka nini.
Swali ulilo uliza ndio vile nilivyojibu. Haya maswali ya kutaka maelezo ni baada kujibu lile swali lile,lakini sababu hukuwa makini tangu mwanzo,maelezo ya misingi ya lugha nilishayatoa huko nyuma.
Hii tabia ya kukimbia maswali nataka niikomeshe kwa mtindo huu,haiwezekani mimi niwe najibi maswali yako tu,wewe ukiulizwa hujibu,hata ile maana ya mjadla inakuwa haipo na itakuwa ni mahojiano sasa. Huu utoto unatakiwa uuache.
Nipo ....
Kiukweli wanaojiita hawaamini uwepo wa Mungu hawajui wanachokitafuta.Na shida ni kwamba wanaowajibu pia hawajui wanachokijibu.
.
Uwepo wa Mungu upo ndani ya Mtu. Na ili Mungu awepo kwako ni lazima utimize mapenzi yake.
Sasa inashangaza anatokea kiumbe anasema " Mungu hayupo" na kwa wakati huo hatimizi mapenzi ya Mungu na wala hajishughulishi kuyajua mapenzi ya Mungu Bali anafuata mapenzi yake mwenyewe.
Halafu wanatokea watu wanaowajibu kuwa Mungu yupo,huku watu hao wakiwa hawayatimizi mapenzi ya Mungu yaani na wenyewe wanafuata mapenzi yao tu!
Mungu anadhihirishwa kwa matendo mema na kuishi vyema. Wote tunaoamini uwepo wa Mungu tungeishi kwa mapenzi ya Mungu hawa wanaojiita Atheists wala hata tusingewasikia.
Tujitahidi jamani kuwasaidie wenzetu kwa matendo yetu mema na upendo ili tuwajibu kwa tunayoyafanya.
Na kizuri zaidi tunajua Cha kufanya yaani tumpende Mungu,tujipende na kuwapenda wote Kama tujipendavyo
Nimekuuliza wewe sababu unaandika mambo ambayo hayapo kabisa sasa labda kuna maana mpya ya kujificha unayo ijua wewe sisi wengine hatuijui,ndio maana nimekuuliza. Swali langu lina maana pana sana.U great thinker wa humu una tabu kweli.Mkuu wewe hujui maana ya kujificha?
Hujatoa jibu linalostahili kulingana na swali ulilopewa, kiufupi jibu lako halijakamilisha vigezo vya kua jibu na ndio maana maswali yanazidi kuongezeka.
Kuwa na mtazamo tofauti ni suala ambalo linaeleweka bwana mdogo.Kwani wenye waumini huko makanisani wanawawatumiaje hao waumini?
Inawezekana we ndiyo unatatizo kichwani kwako kufikiri kila mtu unayemuona ana utofauti na mtazamo wako kua ni lazima awe na tatizo
Hujaeleza nini maana ya neno "hai"Hapa ndipo utakapo ona ya kuwa kila jambo linataka ujuzi.
Rejea swali uliloniuliza na kile nilicho kujibu. Niliwahi kusomeshwa namna ya kuuliza maswali na vipi niulize na vipi nijibu.
Kuwa na mtazamo tofauti ni suala ambalo linaeleweka bwana mdogo.
Ila ku behave like a crazy guy sio jambo la kuvumilika hata sekunde.
Kiukweli wanaojiita hawaamini uwepo wa Mungu hawajui wanachokitafuta.Na shida ni kwamba wanaowajibu pia hawajui wanachokijibu.
.
Uwepo wa Mungu upo ndani ya Mtu. Na ili Mungu awepo kwako ni lazima utimize mapenzi yake.
Sasa inashangaza anatokea kiumbe anasema " Mungu hayupo" na kwa wakati huo hatimizi mapenzi ya Mungu na wala hajishughulishi kuyajua mapenzi ya Mungu Bali anafuata mapenzi yake mwenyewe.
Halafu wanatokea watu wanaowajibu kuwa Mungu yupo,huku watu hao wakiwa hawayatimizi mapenzi ya Mungu yaani na wenyewe wanafuata mapenzi yao tu!
Mungu anadhihirishwa kwa matendo mema na kuishi vyema. Wote tunaoamini uwepo wa Mungu tungeishi kwa mapenzi ya Mungu hawa wanaojiita Atheists wala hata tusingewasikia.
Tujitahidi jamani kuwasaidie wenzetu kwa matendo yetu mema na upendo ili tuwajibu kwa tunayoyafanya.
Na kizuri zaidi tunajua Cha kufanya yaani tumpende Mungu,tujipende na kuwapenda wote Kama tujipendavyo
Sawa bhn Zurri kama hujui maana ya kujificha hamna kwere dingilai.Nimekuuliza wewe sababu unaandika mambo ambayo hayapo kabisa sasa labda kuna maana mpya ya kujificha unayo ijua wewe sisi wengine hatuijui,ndio maana nimekuuliza. Swali langu lina maana pana sana.
Yaank na shangaa unaposema Mols amejificha,sasa labda utakuwa una maanapya ya tamko kujificha. Embu jibu swali kisha nikuonyeshe wapi unapokosea.
Kila siku tunaonana halafu unadiriki kusema sijawahi kukuona. Sidhani kama ungependa ni reveal your anonymity.Mi naona anaye behave like crazy guy ni yule anaye ashumu mtu anayehojiana ni lazima awe bwana mdogo ilihali hajawahi hata kumuona
Mtu wa rohoni ni nani hasa wewe hapo au mchungaji wako ......!Mauti yanayoongelewa si ya damu na nyama ni ya roho ( kuukosa uzima was milele), na mambo ya rohoni wanayoyajua ni watu wa rohoni
Kazi yangu nimemaliza. Ukijibu maswali yangu nistue nije nikupe maelezo ya majibu niliyokupa.Hujaeleza nini maana ya neno "hai"
Hujafafanua unawezaje kujua hiki ni kiumbe katika uhalisia
Hujaeleza Misingi ya lugha gani inasema hakuna kiumbe kisicho hai???
Ukishindwa mara ya kwanza basi yapili fanya makusudi, kujifanya unajua kila kitu sio mchongo kujifunza hauna budi
Ushawahi kuniona wapi?Kila siku tunaonana halafu unadiriki kusema sijawahi kukuona. Sidhani kama ungependa ni reveal your anonymity.
Kama umemaliza kazi zako basi ni muda muafaka wa kurejea kwenye swali languKazi yangu nimemaliza. Ukijibu maswali yangu nistue nije nikupe maelezo ya majibu niliyokupa.
Hakuna kiumbe hai? Come again dude!Kama umemaliza kazi zako basi ni muda muafaka wa kurejea kwenye swali langu
Hujaeleza nini maana ya neno "hai"
Hujafafanua unawezaje kujua hiki ni kiumbe katika uhalisia
Hujaeleza Misingi ya lugha gani inasema hakuna kiumbe kisicho hai???
Ukishindwa mara ya kwanza basi yapili fanya makusudi, kujifanya unajua kila kitu sio mchongo kujifunza hauna budi
Anakwambia hakuna kiumbe kisicho hai at the same time utamsikia akisisitiza kua mjadiliane kielimu WTF?Hakuna kiumbe hai? Come again dude!
JF never stops to activate sense of humorous[emoji3]
Duuuuuuuuh!! Kazi ipo.Hiyo ndio raha ya maisha, em fikiria kwamba kama maisha yangekuwepo bila harakati na mikakati yaani shida na raha yaani ungeamka asubuhi unachuma chakula na kula kisha unarudi kulala, wala usingetafuta pesa kwa ajili ya kwenda hospitalini
Je! Maisha kama hayo yangekuwa ya duniani?!!! Na Mungu asingewaahidi wanadamu kuwa wanaomsikiza na kumtii watakuja kuingia katika ufalme wake.