GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,648
- 10,843
Wanayazungumziaje matukio kama haya?
1. Uebert Angel alitabiri kuwa Trump atashinda uchaguzi wa Marekani na ikawa hivyo!
2. Uebert Angel alitabiri kuwa Papa Francis ataaga dunia Jumatatu Asubuhi na unabii wake ukatimia!
3. Uebert Angel alimtabiri mtu atakayechaguliwa kuwa Papa mpya na hilo nalo limetimia kikamilifu!
Hayo ni machache tu!
Mambo kama hayo yanawezekanaje