Atheism ni nini?


kama unakubaliana kwa dhati kabisa na hiyo sentensi niliyotia red unaweza kutuambia mungu alikotokea?
 
yote bu bla bla tu definition halisi ya hawa watu ni Makufar.. au makafiri..... au mnataka na maana ya ukafiri
 



Ni kweli mkuu kubishana hawa watu ni ngumu sana
jibu ni dogo wacha wafe wakakutane naye hukohuko ndo watajua
isitoshe hao wakina Darwins na wanzake wameshaujua ukweli huko walipo na wanatamani waje wa-withdraw/kutengua kauli zao za kuwa Mungu hayupo lkn Uhuru wakuja kusema hayo hawana tena.
Kama Atheist hawaamini hata kwa kuona
uumbwaji wa Dunia na vilivyomo na kuleta theory yao ya Big bang
Sasa ndo wataamini swala La Kiroho?
Maana hili ni swala kiroho ya mtu anavyotendewa na Mungu wake
mf: leo asubuh nakwambia usiku ni meongea na malaika, ushahidi wa maneno yangu hautakuwepo hata nikueleze vipi kamwe hutoamini kama tu umeamua kutoamini Bali ukweli utabaki ndani yangu mwenyewe kuwa leo usiku nimeongea na Malaika baaasi itabaki kuwa hivyo ila kamwe kwasababu sijakupa ushahidi audio or video tape ya maongezi yetu Ndo uniamishe kuwa hujaonana na malaika na wala hakuna kitu kama hicho bali ulikuwa unaota!! Haizekani kamwe!!
 
jamaan ubishi katika mambo ya mungu haufai anayeamini kama mungu yupo aendelee kuamini na asiyeamin naye aendelee na imani yake
 

Maana yake ni Ukafiri au upagani,, mpinga kuwezo kwa Mungu......
 
Mungu wetu si Mungu wa mizaha wanafikiri wanamkana kumbe ndio kwanza wanamhubiri na kukiri uwepo wake

Mkuu, kunamahali umesema haiwezekani vitu fulani vikaji-arrange from nothing. Ila ukanukuu maneno from the bible kwamba hapo mwanzo alikuwako neno(kitabu cha yohana siyo mwanzo). Ukadai kuwa huyo neno ni energy lakini ukasahau kuwa energy pia unahitaji au hutokana na matter, refer E=mc^2. Now explain to me where did that neno=energy came from.
 


Wanajua Mungu hayupo au wanaamini Mungu hayupo ? Tatizo ni kwamba wanaamini Mungu hayupo,lakini imani yao hawataki iitwe imani bali huona ni Ujuzi na honyesha chuki za wazi kwa Mungu. hivyo kweli ni God-Haters, wengi ni watu wenye uwezo mkubwa wa Kukariri huku uwezo wa kutafakari ukiwa chini mnoooo.
 
kama unakubaliana kwa dhati kabisa na hiyo sentensi niliyotia red unaweza kutuambia mungu alikotokea?

Hapa ndipo kwenye tatizo kubwa la GOD haters, mnajua kwamba waamini Mungu wanajua kuwa Mungu alikuwa kabla ya Wakati (Time). Matter and space, lakini kwa kuwa hata maswali ya kuuliza mmekariri, unauliza ''alitokea wapi'' alikotokea, yaani unamuweka Mungu sawa na viumbe wengine ili upewe maelezo sawa na viumbe wengine wa ndani ya ''Matter,Time and Space'' nawe wajiona mjanja...
Mungu Ndiye Mwanzilishi wa UHAI.
Kupitia Uhai wangu naeweza kumwelezea Mungu,Lakini huyo wa ushahidi wa kuletewa kwenye test tube Utasubiri sana.
 

Naam, nimechagua kusubiri kuliko kuamini blindly!
 

utahate vipi kitu kisichokuwepo?!!! wewe unaanza tu kumhate santa claus au yule samaki mtu mwenye mkia?!!
 

Tiger naomba ukasome tena kitabu cha mwanzo vizuri, halafu maelezo yako yanabase kwenye sayansi ambayo imekuja miaka mingi baadae kwa hiyo vyovyote utakavyohoji utarudi kwenye duara lile lile la msingi wa uungu na uwepo wake
 
Last edited by a moderator:

gody wala si ngumu kubishana nao
 
Last edited by a moderator:
kuchagua kusubiri ushahidi wa kimaabara na kusema hayupo ni vitu tofauti mkuu

Mimi naamini katika ushahidi (evidence), niko tayari kubadili mawazo juu ya kitu chochote wakati wowote kunapotokea ushahidi wa kutosha, kwa muda huu sijaona ushahidi hata tone, hivyo sina sababu ya kuamini.
 
Mimi naamini katika ushahidi (evidence), niko tayari kubadili mawazo juu ya kitu chochote wakati wowote kunapotokea ushahidi wa kutosha, kwa muda huu sijaona ushahidi hata tone, hivyo sina sababu ya kuamini.

Unaweza kuwa kweli unaamini katika ushahidi, lakini uwezo wa kutambua na kuona ushahidi ukawa hunao,hivyo hata ukipewa ushahidi wa aina gani kama uwezo wa kuutambua huna ni sawa na kumpigia gitaa mbuzi.na hicho ndicho kiwatatizacho Atheist wengi, ushahidi unaowalazimisha kutafakari haukubaliki kwa kuwa kutafakari kwao ni janga.
Lau kama unajua aina ya ushahidi uutakao sema ili Upewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…