Atheism: Imani nusu na robo

Atheism: Imani nusu na robo

Kwasababu aliona kuwa kila alichokiumba ni chema, kama wewe unaona kuwa kuna makosa Katika uumbaji basi umeamua kufanya hivyo mwenyewe kwasababu akili yako hushikiwi na mtu, huna uwezo wa kumfanya mtu yeyote aamini kila unacho kiamini wewe.
Nimeuliza sababu zilizomfanya Mungu aumbe hivi kabla hajaumba. Hujatoa sababu hizi. Umesema aliona kila alichoumba ni chema.

Kuna wema gani katika matetemeko ya ardhi yanayoua ndugu zetu, wengine watoto wadogo haana hatia yoyote?

Kuna wema gani katika magonjwa, vita, njaa, tsunami, vimbunga etc?

Kuna wema gani katika vifo vinavyotenganisha wapendanao?

Unaweza kuutaja wema huo?
 
Hujaelewa hata tofauti ya "baya lolote unaloweza kulifikiria" na "baya lolote unaloweza kulifanya kwa kutumia kitabu cha dini"

Comprehension please.

Ndiyo maana hatuelewani, huna comprehension.
Haya nifahamishe.
 
Ndiyo nikakwambia nitajie japo moja hilo baya ambalo unaweza kulifanya kwa kutumia kitabu cha dini. Mie napingana na wewe kuwa unaweza kufanya jambo baya kwa kutumia kitabu cha dini,labda wewe utakuwa unazungumzia watu kufanya mambo mabaya na kuzingizia vitabu vya dini lakini sio kwamba kitabu cha dini kinampa mtu ruhusa au kumuelekeza MTU kufanya jambo baya. Lakini pia inawezekana tunatofautiana kwenye kujua ni jambo lipi baya.

Muda si mrefu umetoka kusema kusema kuwa kuna watu hawaamini mungu ila bado wapo kwenye dini kwa sababu tu wanaona dini ina umuhimu kwa kuwa ina mafundisho mazuri na kukataza mabaya,sasa tena hapa unasema mtu anaweza kufanya mabaya kwa kutumia vitabu hivyohivyo vya dini na ndiyo maaana nikakwambia unitajie hilo baya japo moja lenye kufanyika kwa kutumia kitabu cha dini.

Yes, the Bible Does Say to Kill Infidels

Deuteronomy 13
6 If your very own brother, or your son or daughter, or the wife you love, or your closest friend secretly entices you, saying, “Let us go and worship other gods” (gods that neither you nor your ancestors have known, 7 gods of the peoples around you, whether near or far, from one end of the land to the other), 8 do not yield to them or listen to them. Show them no pity. Do not spare them or shield them. 9 You must certainly put them to death. Your hand must be the first in putting them to death, and then the hands of all the people. 10 Stone them to death, because they tried to turn you away from the Lord your God, who brought you out of Egypt, out of the land of slavery. 11 Then all Israel will hear and be afraid, and no one among you will do such an evil thing again.

12 If you hear it said about one of the towns the Lord your God is giving you to live in 13 that troublemakers have arisen among you and have led the people of their town astray, saying, “Let us go and worship other gods” (gods you have not known), 14 then you must inquire, probe and investigate it thoroughly. And if it is true and it has been proved that this detestable thing has been done among you, 15 you must certainly put to the sword all who live in that town. You must destroy it completely, both its people and its livestock. 16 You are to gather all the plunder of the town into the middle of the public square and completely burn the town and all its plunder as a whole burnt offering to the Lord your God. That town is to remain a ruin forever, never to be rebuilt.

Deuteronomy 17

If there be found among you, within any of thy gates which the LORD thy God giveth thee, man or woman, that hath wrought wickedness in the sight of the LORD thy God, in transgressing his covenant; 17:3 And hath gone and served other gods, and worshipped them, either the sun, or moon, or any of the host of heaven, which I have not commanded; 17:4 And it be told thee, and thou hast heard of it, and enquired diligently, and, behold, it be true, and the thing certain, that such abomination is wrought in Israel; 17:5 Then shalt thou bring forth that man or that woman, which have committed that wicked thing, unto thy gates, even that man or that woman, and shalt stone them with stones, till they die.

Also See Numbers 31

For the Quran, see

The Quran's Verses of Violence
 
Kipi kipimo cha kujua jambo baya?tuanze hapo
 
Ujinga ni kitu kibaya.
Kutokuwa na ujuzi wakati unahitajika kuwa na ujuzi ni jambo baya.

Kwa nini Mungu kaumba ulimwengu ambao hatuna ujuzi wa kutosha wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao tuna ujuzi wote bila yeye kupungukiwa chochote?

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote awe mchoyo?
 
Kipimo cha ubaya ni kipi? Twende taratibu tu Mr.contradiction.
 
Unauliza swali ambalo jibu lake lipo katika ulichonukuu.

Naona una matatizo ya ufahamu.

Au ulitaka nikupimie ubaya katika metric standards?
 
Mtu yoyote asieamini kitu hio ndio imani yake.mtu asiekubali kufuata jambo amekubaliana na linalomkataza.

Atheism wamekubaliana na Shahada ya ktk uislam kwamba"HAKUNA MOLA ANAEPASWA KUABUDIWA KWA HAKI" upande huu wa kwanza, sasa bado imebakia kumalizia ule upande wa pili unaosema"ILA MWENYEZI MUNGU PEKEE"
 
Unauliza swali ambalo jibu lake lipo katika ulichonukuu.

Naona una matatizo ya ufahamu.

Au ulitaka nikupimie ubaya katika metric standards?
Yawezekana wewe ndiyo ukaona ndiyo jibu ila mie nisione hivyo,hivyo ni muhimu ukanijibu.
 
Nice! Christopher Hitchens aliuliza hili katika kila kongamano/mdahalo, bila kupata jibu.
Duh,

Umenikumbusha Hitchens mkuu, I have quite some catching up to do.Kuna kitabu chake kimekusanya essays "Arguably", quite a read.

I just finished "Sapiens: A Brief History of Humankind". Kimetulia nacho. Kimeelezea vizuri sana concept ya "imagined reality". Ina explain kwa nini watu wanaamini Mungu yupo ingawa hayupo.
 
Naomba kujua jina la kitabu
 
Back
Top Bottom