ZEE LA HEKIMA
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,422
- 1,849
Kama hakuna Mungu inakuwaje kila binadamu duniani ana thumb print tofauti na watu wengine zaidi ya bilioni mbili walio duniani?
Hilo lina ajabu gani? Mbona kila binaadamu ana ubongo wake, hilo hushangai?Kama hakuna Mungu inakuwaje kila binadamu duniani ana thumb print tofauti na watu wengine zaidi ya bilioni mbili walio duniani?
Kama hakuna Mungu inakuwaje kila binadamu duniani ana thumb print tofauti na watu wengine zaidi ya bilioni mbili walio duniani?
I just finished "Sapiens: A Brief History of Humankind" and just started "Homo Deus: A Brief History of Tomorrow" vyote vya Yuval Noah Harari.Naomba kujua jina la kitabu
Asante ntavitafuta vyote.I just finished "Sapiens: A Brief History of Humankind" and just started "Homo Deus: A Brief History of Tomorrow" vyote vya Yuval Noah Harari.
Very illuminating books.
Sasa unamaliza kusoma vitu kama hivyo halafu unakuja kubishana na mtu ambaye hajasoma zaidi ya Biblia au Quran, halafu hata hivyo vitabu vyenyewe vya dini havielewi.
Ya pili IPI?Ni mbili na ni kwasababu ndio kubwa zaidi Tanzania kama sio Afrika
Ni ipi hiyo?Basi ukiona hivo kuna dini nyingine inawabana watu wasifikirie na kutoka nje ya box
Lazima ina vitisho vingi na inawafanya watu kuwa waoga.
Aliye uliza hakuniambia ni ipiNi ipi hiyo?
Mbona mie sijawahi kusikia hapa tukio la mtu aliyeuliwa kwa kuacha dini.Aliye uliza hakuniambia ni ipi
Ila kuna dini ukihama wanakuuaa, mara unatajiwa majina ya ajabu ajabu yaan full vituko, unapandikizwa uoga badala ya facts.
Dini yoyote iliyo huru watu wake wengi wana uwezo wa ku i question bila woga
Mi nimewahi aseeMbona mie sijawahi kusikia hapa tukio la mtu aliyeuliwa kwa kuacha dini.
Mbona sijaona? Mfano nimeona watu maarufu wakibadili dini ila sijaona wakiuliwa.Mi nimewahi asee
Sio lazima wa uaweMbona sijaona? Mfano nimeona watu maarufu wakibadili dini ila sijaona wakiuliwa.
Yawezekana hapa Tanzania hazipo dini za aina hiyo.Sio lazima wa uawe
Kuna wengine wana poteza hata haki zao za urithi mkuu
Kina dini ni za kikatili we acha tu kaka
Zipo na walio nyimwa urithi nawafahamu.Yawezekana hapa Tanzania hazipo dini za aina hiyo.
Ni ipi hiyo?
Aliye uliza hakuniambia ni ipi
Ila kuna dini ukihama wanakuuaa, mara unatajiwa majina ya ajabu ajabu yaan full vituko, unapandikizwa uoga badala ya facts.
Dini yoyote iliyo huru watu wake wengi wana uwezo wa ku i question bila woga
Mbona mie sijawahi kusikia hapa tukio la mtu aliyeuliwa kwa kuacha dini.
Mi nimewahi asee
Mbona sijaona? Mfano nimeona watu maarufu wakibadili dini ila sijaona wakiuliwa.
Sio lazima wa uawe
Kuna wengine wana poteza hata haki zao za urithi mkuu
Kina dini ni za kikatili we acha tu kaka
Yawezekana hapa Tanzania hazipo dini za aina hiyo.
Zipo na walio nyimwa urithi nawafahamu.
Sasa mtu akiwa huko anajiona eti ndio wako vizuri kumbe wana tishana toka mtu akiwa mtoto ni kumtisha tuu.
Sasa cha ajabu ni kwamba, wanaopinga dini wana werevu,Lakini yasiyohitaji nguvu bali werevu