Atheism: Imani nusu na robo

Atheism: Imani nusu na robo

Watu wanaosoma dini kwa undani wengi wanagundua kwamba ni uongo.

Hata wanaoamua kubaki kwenye Imani wanabaki humo si kwa sababu wanaamini Mungu yupo, wanabaki kwenye Imani kwa sababu wanaamini Imani ina uwezo mkubwa na mzuri wa kuwafanya watu waishi kwa order.

Watu wengi wakijua ukweli kwamba Mungu hayupo watashindwa kuishi maisha ya order.

Hilo ndilo linafanya wengi waliosoma dini/ theology wabaki kwenye Imani.

Si ajabu Papa akawa haamini Mungu yupo, ila anaamini kwamba kuna umuhimu wa kusema yupo.

Na hata wasomi wa fani zingine nao hivyo hivyo.

Wapo ninaowafahamu mimi ambao wanakubali kabisa kuwa hayo mambo ya mungu ni hekaya tu kama za Abunuasi.

Lakini pia wanakubali dini zina baadhi ya vitu ambavyo ni vizuri na kama mtu akijitahidi kwa kadri ya uwezo wake kufuata hayo yaliyo mazuri, mtu huyo ataishi maisha ya uadilifu.

Huwa natolea mfano zile amri 10 za mungu [kwa hisani ya mshua].

Usiue, usiibe, usizini, usiseme uongo....yote hayo ni mambo mema ambayo watu tunapaswa kuyafuata.

Ubaya wa kuyafuata hayo ni upi kwa mfano? Mimi siuoni!

Naona ni mambo mema kabisa.
 
Mwishon ndo umeharibu unafanya maomb kwa namna unayoijua ww lakin hujui kaz ya maombi.kaz ya maombi ni kuachilia nguvu za kimungu(kwa mwamin) na nguvu hzo mungu huzitumia kujibu utakalo kwa kuwa mungu huutawala ulimwengu kwa kutumia wamwaminio.hoja c mungu kuckia kama ni hivyo haina haja ya kuomba kwakuwa mungu anayajua utakayo kabla hujaomba hivyo bac hatuombi ili mungu atuckie.lakin pia kuna aina za maomb na namna ya kuomba.nikusih sasa mm nimepewa neema ya siri hii nawe tafuta kwa bidii kuucaham ufalme wa kimungu na sliha zake.kuomba pia ni iman
Maombi kwa kitu ambacho huna uhakika kama kipo?
Ulishawahi kujibiwa maombi yako?

Halafu hizo nguvu za kimungu zinakujibu kupitia kitu gani? Usiniambi kuwa utajibiwa kwa kupitia mtu fulani.

Mfano tuchukulie kuwa unaumwa malaria ukae ufanye maombi tu uone kama utapona Mkuu. Ukipona bila kwenda hospital hakika hapo ndipo Unaeza sema ombi lako limejibiwa.

Mfano wa pili, una uhitaji wa elfu kumi Fanya maombi ya kuipata hiyo elfu kumi uone kama atakupa akikupa hapo ombi lako litakuwa limefanikiwa.

Ila mbali na hapo maombi hata uombe vipi kwa imani hakika utaambulia patupu.
 
Ninakupa habari ya tumaini langu nililonalo katika Kristo Yesu mfufuka. Yeye aliyesema ndiye njia kweli na uzima na pia akawaita wote waliolemewa na mizigo naye atawapumzisha huyo ndiye ninaye mwamini na kumfuata. Mtume Paulo alisema mtu yoyote asimbue kwa jambo lolote kwani amebeba chapa ya Kristo. Kwa habari ya imani nyingine kinyume na imani niliyonayo katika Kristo Yesu usiniulize kwa maana sina chapa yake hata kidogo. Kikubwa hapa ni kumwaga sera anayeshida huyo unamfuata ukiona shida unapotezea ila tambua Kristo Yesu ni Bwana na ndiye atakaye hukumu ulimwengu kwa habari ya haki na hukumu hata ukikataa yeye atabaki wa kuaminiwa milele.
Hvi ww huoni aibu kuendelea kuandika huu upumbav mwenzio anakwambi vtu vya maana ww unaandika ujinga na upumbav
 
Na hata wasomi wa fani zingine nao hivyo hivyo.

Wapo ninaowafahamu mimi ambao wanakubali kabisa kuwa hayo mambo ya mungu ni hekaya tu kama za Abunuasi.

Lakini pia wanakubali dini zina baadhi ya vitu ambavyo ni vizuri na kama mtu akijitahidi kwa kadri ya uwezo wake kufuata hayo yaliyo mazuri, mtu huyo ataishi maisha ya uadilifu.

Huwa natolea mfano zile amri 10 za mungu [kwa hisani ya mshua].

Usiue, usiibe, usizini, usiseme uongo....yote hayo ni mambo mema ambayo watu tunapaswa kuyafuata.

Ubaya wa kuyafuata hayo ni upi kwa mfano? Mimi siuoni!

Naona ni mambo mema kabisa.
Well said,

Dini huwa zina vitu vizuri Sana katika jamii mfano kutoa huduma mbalimbali za kijamii.

Pia hata misaada mbalimbali pale ambapo kuna uhitaji.

Hivyo vitu ndivyo vinapelekea natambua umhimu wa dini.

Ingawa siyo kwamba watu wanakumbatia dini kwa sababu Mungu hapana ni kwa sababu zina faida ndani yake.
 
Lakini pia hufanya watu wawe wajinga, wapumbavu, na wazembe kupindukia.

Mambo ya kumwachia mungu kila kitu ni ujuha.

Kuna watu huwa wanakataa hadi matibabu ya hospitalini kisa tu mwanamuamini mungu.

Kuna watu wamemtumia huyo huyo mungu kukandamiza wenzao [kwanza mungu gani hata anaruhusu mambo kama hayo kutokea?].
 
Watu wanaosoma dini kwa undani wengi wanagundua kwamba ni uongo.

Hata wanaoamua kubaki kwenye Imani wanabaki humo si kwa sababu wanaamini Mungu yupo, wanabaki kwenye Imani kwa sababu wanaamini Imani ina uwezo mkubwa na mzuri wa kuwafanya watu waishi kwa order.

Watu wengi wakijua ukweli kwamba Mungu hayupo watashindwa kuishi maisha ya order.

Hilo ndilo linafanya wengi waliosoma dini/ theology wabaki kwenye Imani.

Si ajabu Papa akawa haamini Mungu yupo, ila anaamini kwamba kuna umuhimu wa kusema yupo.

Yeah. I get your point.

Unaweza kukukuta hata kiongozi wa imani anaogopa kukataa baadhi ya concepts kwa kuhofia kutenganisha waumini na kuharibu wenye imani juu ya dini hizo.

Kuna wengine wanadhani inahitaji dini kujua morals na lazima kuwa na dini kujua mema na mabaya which is a wrong assumption.

Kuna wengine hawana uhakika juu ya Mungu lakini hujiaminisha kwa kuhofia kusema kuwa hawana uhakika kama yupo au hayupo au yupo kama dini walizo nazo zinafundisha hivyo.

Lakini dini zinatofautiana na jinsi zinavyoelezea kuhusu mwanadamu na ulimwengu hazipo sawa. Kuna imani nyingi. Before mtu yoyote kusema dini zote sio kweli au kusema hakuna mungu au kuna mungu fulani ndio kweli au kuwa na mtazamo wowote lazima ajitolee kujifunza na kuchunguza imani mbalimbali na kuchagua uelewa wake unaona kipi sahihi.
 
Dini ni imani, ukitaka kumshirikisha mtu katika imani yako mjenge kiimani. Usiione imani yako ndio sahihi. Atheist hawana imani nusu na robo. Ni watu wa mwanzo kuamini uwepo wa dini lakini wakikua ni wa kwanza kutoka. Ni pale wanapoanza kupata uelewa na kuanza kuhoji kwa nini na kwa vipi. Imani haina majibu kwa maswali yao na hapo ndio hujitoa kuendelea na maswali yao yanayowapeleka kwenye ugunduzi wa mambo mengi. Usiwalaumu, nao ni imani yao kuwa hakuna mungu.
Ila wao wanasema sio imani
 
Amini Mungu yupo uenda umkose kuliko kuamini hayupo uende umkute, itakuwa ni kilio na kusaga meno!

Kama unaamini Mungu anaiona nafsi yako basi jua hataridhika ukimuamini kwa unafki na kumuogopa. I believe kama kuna mungu, basi hayupo hivyo.
 
Lakini pia hufanya watu wawe wajinga, wapumbavu, na wazembe kupindukia.

Mambo ya kumwachia mungu kila kitu ni ujuha.

Kuna watu huwa wanakataa hadi matibabu ya hospitalini kisa tu mwanamuamini mungu.

Kuna watu wamemtumia huyo huyo mungu kukandamiza wenzao [kwanza mungu gani hata anaruhusu mambo kama hayo kutokea?].
Hakika Mkuu.

Kama yupo kweli basi ana roho mbaya sana na hana upendo na watu wake.

Mfano tetemeko lililotokea bukoba angezuia lisitokee kwa sababu anajua kila kitu.

Lakini kuwaokoa watu wake lakini amewaacha wameumia sana.
 
Tuseme Mungu anaishi kwa kuwatega wanadamu ili apate faida gani sasa?

Exactly.

If He is supreme why akutege? Au why akuumbe ili umuabudu? Utamuongezea nini? What else does he gets from you if he is supreme?

Na ndio maana siamini kuwa lengo la Maisha ni kumjua Mungu, Kumuabudu na kumtumikia. Because He does not deed that kwa sababu hata usipofanya hivyo, if He is supreme then He is supreme tu. Hata ukimuabudu wala usimuabudu au usipomjua au kumjua He does not need pride, praises, fears wala sifa kumpa qualification za kuwa supreme.

Know thy self kwanza ndipo majibu mengine yatakuja. Hata Yesu mwenyewe alisema look within.
 
Na hata wasomi wa fani zingine nao hivyo hivyo.

Wapo ninaowafahamu mimi ambao wanakubali kabisa kuwa hayo mambo ya mungu ni hekaya tu kama za Abunuasi.

Lakini pia wanakubali dini zina baadhi ya vitu ambavyo ni vizuri na kama mtu akijitahidi kwa kadri ya uwezo wake kufuata hayo yaliyo mazuri, mtu huyo ataishi maisha ya uadilifu.

Huwa natolea mfano zile amri 10 za mungu [kwa hisani ya mshua].

Usiue, usiibe, usizini, usiseme uongo....yote hayo ni mambo mema ambayo watu tunapaswa kuyafuata.

Ubaya wa kuyafuata hayo ni upi kwa mfano? Mimi siuoni!

Naona ni mambo mema kabisa.
Tatizo linakuja Mungu huyo huyo yuko incoherent, pengine kwenye vitabu vyake mtu ukitaka kufanya mabaya unaweza kutumia maandiko yake ukafanyia mabaya.

Ndiyo maana ni muhimu kujuzana, jamani eeh, huyo Mungu kusema yupo poa tu, lakini msiende kuchukua mstari kasema ueni kwa jina langu mkaenda kuua kwa sababu kitabu kitakatifu kimesema.

Hayupo, ni hadithi tu inabidi mchukulie mambo kwenye context.
 
Hata mimi huwa nawaza along the same lines...

Yes na kama yupo wote hatumjui.Ikitokea mtu anamsemea mungu na kumuelezea vizur basi ana matatizo kwa maana hao hao ndo huwa wanasema god is beyond our thinking capacity.
Huwezi kuwa na ALL PERFECT GOD HALAFU AKAUMBA IMPERFECT MAN HAIWEKANI
 
Ndio. Namfahamu. Lakini pia kuna Apollo katika historia za maeneo mengine hawakuwa wakristu. I cant be a christian by name, following my parents beliefs au kwa kusoma biblia tu.

I am a free spirit, I am not a follower, I am a seeker.

Before I was a christian, na nilibakiza daraja moja tu kuwa Padre. I dropped na kuendelea na scholarship ya chuo katika masuala ya Archaeology until today I am a scientist not a christian. But Thanks to christianity kwa kunikuza na kunipa elimu. But nafsi yangu ilitamani kujua zaidi ya walichonifundisha wao. Napenda kusoma imani zote nijue zinatazama nini ndipo niamue kuwa mkristu au imani nyingine ambayo itanipa majibu sahihi ya kuhusu mwanadamu na ulimwengu. And bila kuleta mgogoro na tafiti za kisayansi.

Kila mtu ana haki ya kuutafuta ukweli mwenyewe.
Asante.
Nini kiliwakuta Mkuu mpaka mkaacha na upadr. Mm niliishi ktk ukristo zaid ya miaka ishirini km mu anglican mwisho nikaachana nao baada ya kuuanza kutafuta elimu zaid niligundua vtu ambavyo nilishindwa kujibiwa

hakika elimu ni kitu muhimu sana
Umenikumbusha mbali nami ilibaki miez kadhaa niwe p.d.r
 
Na hata wasomi wa fani zingine nao hivyo hivyo.

Wapo ninaowafahamu mimi ambao wanakubali kabisa kuwa hayo mambo ya mungu ni hekaya tu kama za Abunuasi.

Lakini pia wanakubali dini zina baadhi ya vitu ambavyo ni vizuri na kama mtu akijitahidi kwa kadri ya uwezo wake kufuata hayo yaliyo mazuri, mtu huyo ataishi maisha ya uadilifu.

Huwa natolea mfano zile amri 10 za mungu [kwa hisani ya mshua].

Usiue, usiibe, usizini, usiseme uongo....yote hayo ni mambo mema ambayo watu tunapaswa kuyafuata.

Ubaya wa kuyafuata hayo ni upi kwa mfano? Mimi siuoni!

Naona ni mambo mema kabisa.
Ubaya wake ni kwamba mungu huyohuyo na watu haohao wa kwanza kupewa hizo amri ndio walikuwa vinara wa kuua watu na viumbe visivyo na hatia.

Na kwa nini hayo mafundisho/amri zinapendwa kuambatanishwa na dini? Ina maana mtu kama mtu hana empathy mpaka aambiwe?
 
Na hata wasomi wa fani zingine nao hivyo hivyo.

Wapo ninaowafahamu mimi ambao wanakubali kabisa kuwa hayo mambo ya mungu ni hekaya tu kama za Abunuasi.

Lakini pia wanakubali dini zina baadhi ya vitu ambavyo ni vizuri na kama mtu akijitahidi kwa kadri ya uwezo wake kufuata hayo yaliyo mazuri, mtu huyo ataishi maisha ya uadilifu.

Huwa natolea mfano zile amri 10 za mungu [kwa hisani ya mshua].

Usiue, usiibe, usizini, usiseme uongo....yote hayo ni mambo mema ambayo watu tunapaswa kuyafuata.

Ubaya wa kuyafuata hayo ni upi kwa mfano? Mimi siuoni!

Naona ni mambo mema kabisa.
Je,ni yapi ya kukufanya ufuate hizo amri? Ikiwa unajua hakuna mungu unaachaje kuzini kwa mfano?
 
Back
Top Bottom