Kwahiyo umeona kwa hilo moja tu kuna mikanganyiko mingi and that's where my point liesWell thanks kwa mitazamo yako sir. Kutokana na nature ya link yako ya kwanza ivyosema maana ya Agnostic ni atheist sio kweli. I hope kuna dictionary mbalimbali officials ambazo zinaweza kutoa maana. Pia imesema ni Disbelief. So back to my main question, how can disbelief become the same as belief? And that is where ninapopenda kufahamu views zako kwa kina juu ya hii makala.
Huwa siwajibu wapuuzi! Nimefanya hivi ivi leo ili siku nyingine ukiona sijakujibu usishangae
Unauliza swali ambalo jibu lake lipo katika unachonukuu.Unaweza kuthibitisha kuwa na assume kuwa mungu yupo?
Mkuu ukiingiaga Kwenye mada fulani mjadala unakuwaga mtamu sana. Ngoja nirudi Kwenye post namba 220 niendelee kushuka taratibu.Kwani Imani ni lazima iwe dini?
Tukija kwenye dini. Ukifanya Imani za dini ziwe kama mitindo ya kusuka nywele, atheist ni mtu anayeikataa mitindo yote ya kusuka nywele na kunyoa kipara
Unaweza kusema huyu mtu anayekataa kusuka nywele na kunyoa kipara kipara chake ni aina ya kusuka nywele?
Ukisema Atheism ni imani ya kidini ni sawa na kusema Flaviana kasuka nywele hapa.
Mkuu wanaudhi sana. Unajua epuka kubishana na mtu anayebisha akiwa anajua ukweli wa kile anachobishia. Ndio maana tunashauriwa maswali yasiyo na maana ya kidini kujiepusha nayo.Post nzuri ila kidogo umetumia lugha isiyo rafiki sana kwa mjadala
Mjumbe Mungu aliiumba dunia katika utimilifu wake rejea bustani ya edeni. Mungu aliiumba dunia ikaliwe na mtu maana awe na umiliki halali ni sawa na nyumba unayorithi japo sio yako umepewa kupitia urithi ila una umiliki nayo unaweza kuiuza na mtu yoyote kwa bei yoyote na mtu asikuulize. Sasa Adamu na Hawa waliuza urithi huu kwa shetani baada ya kumuasi na kukataa kumtii Mungu ndipo laana na utawala wa dunia hii ukawa chini ya shetani na mauti, magomvi , wivu ukaingia duniani mfano mauaji ya Abel aliyeuwawa na nduguye Kaini. Ukitaka kuona hili ni baada ya Yesu kufunga siku arobaini na kuona njaa shetani akamweka juu ya mnara na kwa dakika akamwonesha miliki yote ya dunia na fahari zake akamuhaidi kumpa ikiwa atamsujudia ila Yesu akachomoa japo nasikia kuna mtume mmoja wa dini fulani alianguka akasujudu. Sasa anachokifanya Mungu sasa ni kurudisha utawala wake lakini si katika ulimwengu huu kwa kumtuma kristo Yesu kumkomboa mwanadamu aliyepoteza urithi wake kwa kuuza uzaliwa wake chini ya shetani. Kwa sasa dunia hii i chini ya shetani ndiye anayetawala na Mungu anatawala kupitia wale wanaomwamini kupitia Kristo Yesu ambaye ametununua kwa damu yake kupitia msalaba. Yote yanayotokea sio Mungu anayeyaruhusu na ukiona amani ujue Mungu ndiye anayejaalia. Shetani anataka kuiangamiza dunia ili watu wafe katika dhambi wawe wake katika utawala wa giza kitu ambacho kwa Mungu ni hasara. Ni sawa na jambazi kamteka mkeo au mwanao kamwekea kisu kooni hata kama ukiwa komandoo kama wale wanaopasua matofari itakubidi uwe mpole utafute demokrasia na diplomasia ili uone namna gani ya kuwaokoa rejea mazungumzo kati ya Mungu na shetani ktk kitabu cha Ayubu. Ila Mungu akiona kiwango cha watu waliookoka kimetosha utaona timbwili lake na hasira ya Mungu. Rejea kipindi Yesu yuko duniani mapepo yalikuwa yakimwambia una nini nasi wewe mwana wa Mungu kuja kututesa kabla ya wakati wetu?.HAKUNA MUNGU NA HAKUNA HAJA YA KUWA NA MUNGU!,TUNAYOYAJUA SASAHIVI WANADAMU TUJAONA HAKUNA HAJA YA KUWA NA MUNGU KABISA .
NILIWAHI KUSEMA HAPA KWAMBA MUNGU NI IDEA TU YA MWANADAMU BAADA YA KUJIULIZA MASWALI KADHAA NA KUONA KWAMBA HAPATI MAJIBU SAHIHI.
Kuamua kuamini ni jambo moja lakini ukweli wa kile unachokiamini ni jambo la pili.
Huwezi kuwa na mungu ambaye ni perfect lakini wakati huo huo akaumiumba binadamu ambaye ni imperfect.
HuweZi kuwa na mungu ambaye anashindwa kuzuia majanga ya asili kama volkano na tsunami hata earthquake yanayoua watoto na halafu watu wakasema et ni mapenzi yake.
Hapawezi kuwa na mungu ambaye anayeshindana na kiumbe chake(shetani)kumvuta binadam kwake
.......Freee ideas.......
wewe kuniambia Mimi kuwa siwezi kuthibitisha ndiyo jibu la swali nililokuuliza?Unauliza swali ambalo jibu lake lipo katika unachonukuu.
Unajua kusoma?
Unajua tatizo pia idea ya kupinga mungu ndiyo yenye utata. Unajua wakati wewe unayatizama hayo majanga kwa mtazamo huo basi wenzio hutizama hayo majanga kwa mtizamo mwengine.HAKUNA MUNGU NA HAKUNA HAJA YA KUWA NA MUNGU!,TUNAYOYAJUA SASAHIVI WANADAMU TUJAONA HAKUNA HAJA YA KUWA NA MUNGU KABISA .
NILIWAHI KUSEMA HAPA KWAMBA MUNGU NI IDEA TU YA MWANADAMU BAADA YA KUJIULIZA MASWALI KADHAA NA KUONA KWAMBA HAPATI MAJIBU SAHIHI.
Kuamua kuamini ni jambo moja lakini ukweli wa kile unachokiamini ni jambo la pili.
Huwezi kuwa na mungu ambaye ni perfect lakini wakati huo huo akaumiumba binadamu ambaye ni imperfect.
HuweZi kuwa na mungu ambaye anashindwa kuzuia majanga ya asili kama volkano na tsunami hata earthquake yanayoua watoto na halafu watu wakasema et ni mapenzi yake.
Hapawezi kuwa na mungu ambaye anayeshindana na kiumbe chake(shetani)kumvuta binadam kwake
.......Freee ideas.......
Kwahiyo umeona kwa hilo moja tu kuna mikanganyiko mingi and that's where my point lies
Mjumbe Mungu aliiumba dunia katika utimilifu wake rejea bustani ya edeni. Mungu aliiumba dunia ikaliwe na mtu maana awe na umiliki halali ni sawa na nyumba unayorithi japo sio yako umepewa kupitia urithi ila una umiliki nayo unaweza kuiuza na mtu yoyote kwa bei yoyote na mtu asikuulize. Sasa Adamu na Hawa waliuza urithi huu kwa shetani baada ya kumuasi na kukataa kumtii Mungu ndipo laana na utawala wa dunia hii ukawa chini ya shetani na mauti, magomvi , wivu ukaingia duniani mfano mauaji ya Abel aliyeuwawa na nduguye Kaini. Ukitaka kuona hili ni baada ya Yesu kufunga siku arobaini na kuona njaa shetani akamweka juu ya mnara na kwa dakika akamwonesha miliki yote ya dunia na fahari zake akamuhaidi kumpa ikiwa atamsujudia ila Yesu akachomoa japo nasikia kuna mtume mmoja wa dini fulani alianguka akasujudu. Sasa anachokifanya Mungu sasa ni kurudisha utawala wake lakini si katika ulimwengu huu kwa kumtuma kristo Yesu kumkomboa mwanadamu aliyepoteza urithi wake kwa kuuza uzaliwa wake chini ya shetani. Kwa sasa dunia hii i chini ya shetani ndiye anayetawala na Mungu anatawala kupitia wale wanaomwamini kupitia Kristo Yesu ambaye ametununua kwa damu yake kupitia msalaba. Yote yanayotokea sio Mungu anayeyaruhusu na ukiona amani ujue Mungu ndiye anayejaalia. Shetani anataka kuiangamiza dunia ili watu wafe katika dhambi wawe wake katika utawala wa giza kitu ambacho kwa Mungu ni hasara. Ni sawa na jambazi kamteka mkeo au mwanao kamwekea kisu kooni hata kama ukiwa komandoo kama wale wanaopasua matofari itakubidi uwe mpole utafute demokrasia na diplomasia ili uone namna gani ya kuwaokoa rejea mazungumzo kati ya Mungu na shetani ktk kitabu cha Ayubu. Ila Mungu akiona kiwango cha watu waliookoka kimetosha utaona timbwili lake na hasira ya Mungu. Rejea kipindi Yesu yuko duniani mapepo yalikuwa yakimwambia una nini nasi wewe mwana wa Mungu kuja kututesa kabla ya wakati wetu?.
Ninakupa habari ya tumaini langu nililonalo katika Kristo Yesu mfufuka. Yeye aliyesema ndiye njia kweli na uzima na pia akawaita wote waliolemewa na mizigo naye atawapumzisha huyo ndiye ninaye mwamini na kumfuata. Mtume Paulo alisema mtu yoyote asimbue kwa jambo lolote kwani amebeba chapa ya Kristo. Kwa habari ya imani nyingine kinyume na imani niliyonayo katika Kristo Yesu usiniulize kwa maana sina chapa yake hata kidogo. Kikubwa hapa ni kumwaga sera anayeshida huyo unamfuata ukiona shida unapotezea ila tambua Kristo Yesu ni Bwana na ndiye atakaye hukumu ulimwengu kwa habari ya haki na hukumu hata ukikataa yeye atabaki wa kuaminiwa milele.Aisee ili tuwe rational,naomba tusitumie kitabu kimoja tu cha "wakristo" kama reference ya ulimwengu...
Kama unadiscuss hii kitu na Budhist au Mpagani hamtaelewana...mawazo yako umeegemea "ukristo" ambao una social inclination nao....huo mtazamo ni flawed sababu ni katone tu kwenye grand of things ya ulimwengu huu...
Wakristo mnataka kuwaburuza wanadamu wote kwenye reference ya vitabu vyenu vya kikristo hata kama si-subscribe kwenye hiyo line of faith...barbarians wakubwa
Aisee ili tuwe rational,naomba tusitumie kitabu kimoja tu cha "wakristo" kama reference ya ulimwengu...
Kama unadiscuss hii kitu na Budhist au Mpagani hamtaelewana...mawazo yako umeegemea "ukristo" ambao una social inclination nao....huo mtazamo ni flawed sababu ni katone tu kwenye grand of things ya ulimwengu huu...
Wakristo mnataka kuwaburuza wanadamu wote kwenye reference ya vitabu vyenu vya kikristo hata kama si-subscribe kwenye hiyo line of faith...barbarians wakubwa
Ninakupa habari ya tumaini langu nililonalo katika Kristo Yesu mfufuka. Yeye aliyesema ndiye njia kweli na uzima na pia akawaita wote waliolemewa na mizigo naye atawapumzisha huyo ndiye ninaye mwamini na kumfuata. Mtume Paulo alisema mtu yoyote asimbue kwa jambo lolote kwani amebeba chapa ya Kristo. Kwa habari ya imani nyingine kinyume na imani niliyonayo katika Kristo Yesu usiniulize kwa maana sina chapa yake hata kidogo. Kikubwa hapa ni kumwaga sera anayeshida huyo unamfuata ukiona shida unapotezea ila tambua Kristo Yesu ni Bwana na ndiye atakaye hukumu ulimwengu kwa habari ya haki na hukumu hata ukikataa yeye atabaki wa kuaminiwa milele.

Namaste. Ila mjumbe kuna mtumishi kwenye kitabu cha matendo ya mitume alikuwa na jina la Apollo alikuwa mbabe wa maandiko sana akishindana na wayahudi na kuwashinda sana. Aisee natamani nawe uwe wakili wa Kristo akujaze hekima ya Apollo umtumikie. Unasemaje kuhusiana na hili ndugu yangu?.Its your view Sir.
Hongera kwa kuwa na akili nyepesi kukubali na kuamini katika maandiko tu bila kutaka facts nje ya zone yako ya imani.
Cha msingi DO GOODS. Thats all matters.
Namaste [emoji120]
Namaste. Ila mjumbe kuna mtumishi kwenye kitabu cha matendo ya mitume alikuwa na jina la Apollo alikuwa mbabe wa maandiko sana akishindana na wayahudi na kuwashinda sana. Aisee natamani nawe uwe wakili wa Kristo akujaze hekima ya Apollo umtumikie. Unasemaje kuhusiana na hili ndugu yangu?.
Ndio. Namfahamu. Lakini pia kuna Apollo katika historia za maeneo mengine hawakuwa wakristu. I cant be a christian by name, following my parents beliefs au kwa kusoma biblia tu. I am a free spirit, I seeks and I do not follow.
Before I was a christian, na nilibakiza daraja moja tu kuwa Padre. I dropped na kuendelea na scholarship ya chuo katika masuala ya Archaeology until today I am a scientist not a christian. But Thanks to christianity kwa kunikuza na kunipa elimu. But nafsi yangu ilitamani kujua zaidi ya walichonifundisha wao. Napenda kusoma imani zote nijue zinatazama nini ndipo niamue kuwa mkristu au imani nyingine ambayo itanipa majibu sahihi ya kuhusu mwanadamu na ulimwengu. And bila kuleta mgogoro na tafiti za kisayansi.
Kila mtu ana haki ya kuutafuta ukweli mwenyewe.
Asante.
Nimekupenda kwa hili. Ila tambua hakuna jina lingine juu au chini ya mbingu litupasalo kuokolewa kwalo isipokuwa jina la Yesu. Hakuna mtume, wala mtumishi yoyote aliyetokea na kutoa ofa kwao waliolemewa na mizigo ila Kristo Yesu pekee. Sema ndio kwake leo huko nje hakuna uzima bali confusion tu na mwishowe mtu kupotea kabisaa. Ni maombi yangu Mungu akuangazie nuru yake kama alivyomhangazia Sauli. Ni maombi yangu Mungu awaangazie nuru yake awabadilishie majina kama alivyombadilishia Sauli na kuwa Mtume Paulo. Amen.Ndio. Namfahamu. Lakini pia kuna Apollo katika historia za maeneo mengine hawakuwa wakristu. I cant be a christian by name, following my parents beliefs au kwa kusoma biblia tu.
I am a free spirit, I am not a follower, I am a seeker.