I know nothing kuhusu Hinduism, huwa nasikia maneno ya mitaani tu ambayo sina hakika kama yana ukweli ndani yake.Jimena Tanzania daily tunakula nyama ya ng'ombe ni vigumu kabisa au ni kitu kisichowezekana kuwa ipite siku bila kuchinja ng'ombe na hakuna tatizo huku kwetu lakini imagine umchukue mhindu nyumbani kwako halafu umpe chakula chenye nyama ya ng'ombe uone reaction yake
My point is kwa mhindu ng'ombe ni Mungu kwa mswahili ni kitoweo huu ndio mtazamo ninaozungumzia
Asante sana mkuu Apollo kwa kunipa mwanga kuhusu wahindu, haya mambo ya wahindu na ng'ombe nimekuwa nikiyasikia tu mitaani na sikuwahi kukutana na mtu ambae anafahamu kuhusu Hinduism ili anipe ufafanuzi.Correction Mr Mshana na kwa wengine ambao hawafahamu.
Hinduism haiabudu ng'ombe wala hana nafasi katika deity wa hinduism. Ng'ombe anakuwa mnyama anayeheshimiwa kama sacred kwa sababu ya symbolism iliyobebeka tangu zamani katika India. Pia ilikuwa ni kama kipimo cha mali (mfano hata sisi tuna makabila ambayo yanaona ng'ombe ni dhamani na wana count utajiri kupitia idadi ya ng'ombe). Hivyo India zamani ng'ombe walikuwa hawauawi na wanaachwa katika matumizi ya maziwa, butter na mafuta. Pia ilikuwa sign of power.
Ng'ombe ana symbolism ya fertility. Anatoa maziwa kutunza mwanae, anatoa maziwa kwa mfugaji wake, ng'ombe ana upendo kwa mwanae na hata mwanae akifa atagoma kutoa maziwa. Ni sign of love kwa kutoa maziwa yake kutunza mtoto na kumpa mfugaji kwa pamoja bila hasira. Krisha ambaye ni mojawapo wa Deity wa kihindi alipokuwa mdogo alitunzwa kwa maziwa ya ng'ombe na hata alipokuwa mwalimu wa imani alipenda kutumia mfano wa upendo wa ng'ombe kukumbuka maisha yake alivyotunzwa kwa upendo wa ng'ombe aliyemuona kama mwanaye huku akitoa 'ombe maziwa kwake na kwa ndama wake. Krishna akaitwa protectors of cows. Akapinga kuua ng'mbe na ndipo heshima juu ya ng'ombe ilipoanza na mpaka leo.
Hivyo ng'ombe haabudiwi bali anaheshimiwa. Katika kuheshimu symbolism hiyo hawaui ng'ombe kwa symbolism iliyohadithiwa kupitia mfano wa ng'ombe.
Bado sijakamilisha hiki nachosomea sasa na sipendi kujifunza kitu juu juu, hivyo muda ukifika ntafanya hivyo[emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji22] [emoji22] kaisome upanue ufahamu
Well thanks kwa mitazamo yako sir. Kutokana na nature ya link yako ya kwanza ivyosema maana ya Agnostic ni atheist sio kweli. I hope kuna dictionary mbalimbali officials ambazo zinaweza kutoa maana. Pia imesema ni Disbelief. So back to my main question, how can disbelief become the same as belief? And that is where ninapopenda kufahamu views zako kwa kina juu ya hii makala.
Asante sana mkuu Apollo kwa kunipa mwanga kuhusu wahindu, haya mambo ya wahindu na ng'ombe nimekuwa nikiyasikia tu mitaani na sikuwahi kukutana na mtu ambae anafahamu kuhusu Hinduism ili anipe ufafanuzi.
Namaste brother
Vizuri hiyo ni tafsiri ya belief Google na agonist belief uone matokeo
Unaniuliza mie tena kujibu ni nini..!!!!??Kujibu maana yake ni nini?
Hapana, nayauliza mavi yaliyo tumboni mwako.Unaniuliza mie tena kujibu ni nini..!!!!??
Angalia usije ikawa umeanza kuchanganyikiwa,maana hadi umeanza kuongea na mavi?Hapana, nayauliza mavi yaliyo tumboni mwako.
Unajuaje kwamba siko bongo?Angalia usije ikawa umeanza kuchanganyikiwa,maana hadi umeanza kuongea na mavi?
Fanya urudi bongo tu.
Unaweza kuthibitisha kuwa na assume kuwa mungu yupo?Unajuaje kwamba siko bongo?
Au una assume tu kama unavyo assume Mungu yupo?
Una assume kuwa Mungu hayupo kwa sababu huwezi kuthibitisha yupo.Unaweza kuthibitisha kuwa na assume kuwa mungu yupo?
Au mavi yashakuchanganya huko kwenye nchi za watu?
Huna unalolijua mshana tulia tu ndugu yangu,Labda uendelee kuwatisha watu kuhusu uchawi ndicho unachoweza nadhaniView attachment 395344
kwenye ulimwengu wa vipimo kuna ujazo mbalimbali kama robo nusu na kitu kamili nk.. nusu mbili hutengeneza kitu kamili robo mbili hutengeneza nusu.
Kuna kamchezo ukimtuma mtu asiye mwaminifu akuletee kitu kinachohusika na vipimo kupiga bao! Ukimtuma kilo moja yeye ataleta nusu na robo.
Duniani tuna imani mbalimbali kuanzia zinazoabudu Mungu mmoja,miungu vitu vinavyoonekana hata masanamu kwenye hizi imani kuna mitifuano na mikanganyiko mingi tuu..lakini kiboko ya imani zote ni hii isiyomwamini Mungu mmoja
Jaribu kumuuliza atheist yeyote kwanini huamini katika Mungu atakwambia kwakuwa hajawahi kumuona! Ila muulize kama alishawahi kuiona akili yake au roho yake...hatakupa jibu moja na la moja kwa moja
Hii ni imani isiyotimia isiyojua dhima yake mwanzo wake wala muktadha wa nini inasimamia
Ni imani chongo yenye kengeza barobaro...ikiamini isichokiamini..ikifuata isichokijua
Je atheism ni;
Kuabudu miungu?
Kuabudu shetani?
Kuabudu masanamu?
Kuabudu vitu ?
Ama kutoabudu chochote?
Kila imani ina maelezo fulani kwenye chochote na kila swali lina jibu lake tusiiweke sayansi kwenye kundi la imani..hili ni Somo kama masomo mengine
Kutoamini chochote ni mkanganyiko tu wa akili kwakuwa mwisho wa siku utajikuta unaangukia kwenye imani yoyote japo kwa kificho na imani ya kutoamini chochote ni imani isiyotimia
Huwa siwajibu wapuuzi! Nimefanya hivi ivi leo ili siku nyingine ukiona sijakujibu usishangaeHuna unalolijua mshana tulia tu ndugu yangu,Labda uendelee kuwatisha watu kuhusu uchawi ndicho unachoweza nadhani
........Free ideas...
Yes!Mkuu na wewe ni agnostic?
Unaweza kuthibitisha kuwa na assume kuwa mungu yupo?Una assume kuwa Mungu hayupo kwa sababu huwezi kuthibitisha yupo.
Unaweza kuthibitisha sipo bongo?