Atheism: Imani nusu na robo

Lakini mshana huoni kwamba kiranga yupo sahihi kwa maelezo yake?

Mimi nimerudi kusoma tena uzi wako ili nijue wewe na kiranga nani mbishi.

Wewe umesema ukimuuliza atheist yeyote kwanini haamini uwepo wa Mungu atakwambia ni kwasababu hajawahi kumuona.

Kiranga anajitetea kwamba kutoamini kwake uwepo wa Mungu sio kwasababu hajawahi kumuona (ana sababu zingine tofauti na hiyo ya kutokuonekana kwake)

Kiranga yupo sahihi kwamba bandiko lako ni uongo, maana yeye ni atheist na sababu iliyomfanya kuwa hivo sio kutokuonekana kwa huyo mungu tu bali ana sababu zingine.

Mimi pia siamini uwepo wa mungu. Na kutokuamini kwangu uwepo wa huyu mungu sio kwasababu hauonekani.

Hivyo nikisema unatuwekea maneno mdomoni nitakuwa sijakosea.
 
Wewe uliyeandika kwamba atheism yeyote ukimuuliza kwa nini haamini kuwapo kwa Mungu atakujibu kwa sababu Mungu haonekani ndiye unaijua atheism?
Ndio naijua tena kwa hakika kabisa atheism ni imani kama ilivyo Uislam ukristo Buddhism Satanism ndani ya hizi imani kuna sect mbalimbali! Atheism nayo mjomba ina sect umeshawahi kusoma kuhusu vivid atheism? Au unified Atheism?
 
Kama unaijua atheism hivyo mbona hujajua kwamba kuna atheists ambao hawakubali kuwepo kwa Mungu kwa sababu ambazo hazina uhusiano na kuonekana kwa Mungu?
 
Ni sahihi kwa mtazamo wako na asante kwakuwa sasa at least umekuja wewe na hoja
Hii ni mitazamo tuu! Akija anayeamini katika Mungu ataniunga mkono na ukija kama wewe utaniona muongo unajua ni kwanini? Ni kwasababu tunatofautiana mitazamo na hilo kwangu sio tatizo
 
Kama unaijua atheism hivyo mbona hujajua kwamba kuna atheists ambao hawakubali kuwepo kwa Mungu kwa sababu ambazo hazina uhusiano na kuonekana kwa Mungu?
Hilo ni lako sio langu kwahiyo usinilazimishe kukubaliana na wewe
 
Safi sana. Mwenzetu anatuaminisha kwamba yeye anamtetea mungu wake bila kuqoute maelezo ya wengine.

Alafu anatumia maneno kama "mjinga mjinga" ilihali kaonyesha upumbavu wa hali ya juu
 
Hilo ni lako sio langu kwahiyo usinilazimishe kukubaliana na wewe
Ni langu vipi wakati wewe ndiye uliyeandika hilo katika original post yako?

Kwa maneno yako mwenyewe umeandika hivi.

Jaribu kumuuliza atheist yeyote kwanini huamini katika Mungu atakwambia kwakuwa hajawahi kumuona! Ila muulize kama alishawahi kuiona akili yake au roho yake...hatakupa jibu moja na la moja kwa moja

Sasa mbona unataka kuyakana maneno yako mwenyewe kama hujaandika wewe?

Utasemaje hili ni langu wakati umeandika wewe?
 
Ni langu vipi wakati wewe ndiye uliyeandika hilo katika original post yako?

Kwa maneno yako mwenyewe umeandika hivi.

Sasa mbona unataka kuyakana maneno yako mwenyewe kama hujaandika wewe?

Utasemaje hili ni langu wakati umeandika wewe?
Nimejibu ulichoandika sijakana nilichoandika mimi mbona unapotezea kuhusu sects za atheism? Au hujui hili nalo? [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Sikutegemea kama ungenikwepa kiasi hiki!
 
Nimejibu ulichoandika sijakana nilichoandika mimi mbona unapotezea kuhusu sects za atheism? Au hujui hili nalo? [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Wewe kama hujui kwamba kuna atheists wasiokubali kuwapo kwa Mungu kwa sababu ambazo hazina uhusiano na kuonekana kwa Mungu, hizo sects hazina maana. Maandishi yako yanakuwa ya uongo, ujinga na uvivu.

By the way, kuna sects za scientists, kuna sects za wafanyabiashara, kuna sects za siasa, kuna sects za kila kitu.

Hizo sects zinafanya hayo mambo yawe imani za kidini?
 
Huyo jamaa ni mjinga, muongo na mvivu.

Siandiki hilo kimzaha tu. Nimeonesha kwa nini naandika hivyo hapo juu.

Kwa hiyo, usitegemee lolote la maana kutoka kwake.
Kweli mkuu na hapa ni kupoteza muda
 
Tunazungumzia sects za atheism sio nyingine kwahiyo tusichanganye mada tafadhali baki kwenye mstari
 
Huyo jamaa ni mjinga, muongo na mvivu.

Siandiki hilo kimzaha tu. Nimeonesha kwa nini naandika hivyo hapo juu.

Kwa hiyo, usitegemee lolote la maana kutoka kwake.
Kama unalosema ni kweli ni wakati muafaka wa kuaga kama jamaa alivyoniaga na mimi bila kinyongo nimekubaliana naye
 
Hit the target mkuu coz kama kuna kundi unalizungumzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…