Huyo amekaa kwa shemeji yake ambae ni mwalimu kwahyo hampi poket mane ndo mana ameamua kumchimba hukuFailures mkuu unamaanisha nini?
Umeangalia cross cutting points za kujiunga na ualimu hata ngazi ya cheti tu?
Uwe unafanya hata simple research kabla hujaanza kuandika
Tatizo sio failures, kwanza hao failures wako hawapo hata kwenye ualimu na ajira za serikali
Lete hoja mkuu achana na viloja
Walimu ndio wamekutia huo uoga?jamani jamani katika nyuzii ambazo mm naogopaga kuchngia Ni hiz za walimu.ngoja mi nipite jamani .
Sawa.Akili za kutawaliwa na wakoloni bado zipo kichwani mwako.Uliona wapi ufaulu umeongezeka kwa kuchapa wanafunzi?
Walimu wanachapa watoto ili kupunguza stress za maisha magumu lakini wanapowaumiza huishia matatani huku serikali ikiwapa kisogo.
Mbona mnachapwa tu na polisi mkizingua?Nashauri hata wazazi wasumbufu wachapwe tu.Wewe utakubali kuchapwa bakora na mwanaume mwenzio mbele ya mke na watoto wako?
Ndio maana nimekuuliza je wewe utakubali kutandikwa bakora mbele ya mkeo na watoto wako?Mbona mnachapwa tu na polisi mkizingua?Nashauri hata wazazi wasumbufu wachapwe tu.
Au nimekosea ndg yangu?
Unataka nikujibu ili iweje?Ndio maana nimekuuliza je wewe utakubali kutandikwa bakora mbele ya mkeo na watoto wako?
Ualimu ni kada inayotia Huruma sana
Ccm, ma bank,saccos,wamewafanya ndio mtaji wao.
Mlivyo ndezi zaidi hata wale jamaa Wa hiyo hela tuma kwenye no hii walengwa ni nyie,wanawafanyia timingi tu.
Mmetutoa ujinga sisi ambao sio mwalimu afu eti mkabaki nao ninyi.
Mwalimu wastaafu wengi wanapigwa na matapeli Yale mafao y
usikariri mkuu Maisha ya sasahivi ni timing tu wapo walimu walio na maisha safiKwa taarifa yako serikali ni watu,.......Serikali ni sisi mlokuwa mnatunyanyasa, dharirisha, dharau,kutunenea mabaya na adha kadha wa kadha, alafu mnategemea vipi tuwakumbuke. Tatizo mnajisahau sana mnashindwa kujua kwamba mnafundisha malaika ambao karama zao hazijajulikana wakati huo we ushakuwa mwalimu tiyari na ni irreversible. Sisi ndiyo watunga Sera bwana........
Kwa taarifa yako serikali ni watu,.......Serikali ni sisi mlokuwa mnatunyanyasa, dharirisha, dharau,kutunenea mabaya na adha kadha wa kadha, alafu mnategemea vipi tuwakumbuke. Tatizo mnajisahau sana mnashindwa kujua kwamba mnafundisha malaika ambao karama zao hazijajulikana wakati huo we ushakuwa mwalimu tiyari na ni irreversible. Sisi ndiyo watunga Sera bwana........
Kama ni mwanafnz lazm utapinga bakora,kazan kusom usisubir ad bakoraMkuu kwani sasa hivi kuna kizazi chenye maarifa na adabu?
Pita huko mitaani uone tabia za wanafunzi wa secondary na hayo maarifa unayosema.
Maybe maarifa na tabia ni kuwaza ngono, kutongozana na kukesha kwenye vigodoro pia kuvuta bangi.
Well na ujinga uliopitiliza.
Mimi nasoma shule na hakuna hayo unayosema zaidi ya walimu kutafuta kuogopeka na wanafunzi kuwaona walimu kama demigods na kuwa waoga kupitiliza.
Bakora hazisaidii mtoto kuelewa wala kuwa na adabu zaidi ya kumtia uoga.
Kama unapinga niambie how bakora zinatia adabu na kumfanya mtoto kuelewa..?
Nimegundua hayana shukurani kabisa, tunayafundisha Hadi kutoa kamasi yakishajua yanaleta dharau[emoji23][emoji23][emoji23] ticha wamekutibua Hawa jamaa.achana nao bana usije ukamaliza makalio ya watoto wetu aise.
Hunijui tu we kilaza ndio maana ulitoka na ufaulu mdogoUkiona mwalimu anakimbilia kuchapa wanafunzi ujue kichwani mweupe hajui chochote.Ukali ndo kama defense yake.
Halafu walimu wakati mwingine wanabananishwa na wanafunzi wanakula kipigo mtaani hadi wanatia huruma.
Ndezi mamaako aliekufundisha ujinga wa kudharau walimuHiyo hela ni mkopo mwalimu ya kununua bodaboda.
Isingetosha kununua my wife wangu.by the way walimu tunawaheshimu sana mmetufundisha ila ni kada ya watu mandezi 2.
Ha ha ha ha ha haMimi ni Ticha na kesho watakaochelewa nawatindua fimbo za kutosha. Na hayo maisha magumu mnayosema mbona Mimi Sina?
Unadhani katika maisha yangu yote mimi nilishawahi kupigwa kisa kutokusoma au kufeli?Kama ni mwanafnz lazm utapinga bakora,kazan kusom usisubir ad bakora