Athari za ukatili zinavyowatesa walimu

Wenye udaulu wa juu huchagua kada zingine zenye heshima ila failures ndo hukimbilia ualimu.
 
Sikubaliana na wewe kwamba ajira ni utumwa LA hasha.
Ila katika ajira mkikubali kuwa watumwa na kutosimamia haki zenu ipasavyo anageuka kuwa utumwa.

Walimu Wa Tanzania ni waoga mno Wa kudai haki zao.bahagi mbaya chama chao hakina meno ya kuitunishia serikali misuli.
 
Jaribu kutafakari maana ya utumwa.
 
Wakati wengine mkiwa mnawalaan walimu na kuwachukia napenda kuchukua fursa hii ya pekee kumkumbuka mwalimu wangu wa hesabu MR BUMA MBOJE na mkuu wangu wa shule mwalimu wangu wa kemia LADSLAUS MUNGU wa milele awabariki kokote mliko mmekaa moyon mwangu siku zote i will remember you forever
 
Unachtaka kumaanisha kwamba wanajesh wote wajiajir? na matrafik wote ? Na mapolice wote?? Na watangazaj wote wajiajiri?? Na walimu wote wajiajir?? Na madaktar wote bila kisahau mahousgirl wote wajiajir safi sana ebu toa mfano wa nchi au jimbo hata moja lisilo na watumwa( waliojiajiri pekee)
 
Walimu ni kama punching bag, yani kila mtu anaweza kuwasema , kuwatusi, kuwadhurumu etc. Poleni
 
Wenye udaulu wa juu huchagua kada zingine zenye heshima ila failures ndo hukimbilia ualimu.
Failures mkuu unamaanisha nini?
Umeangalia cross cutting points za kujiunga na ualimu hata ngazi ya cheti tu?
Uwe unafanya hata simple research kabla hujaanza kuandika
Tatizo sio failures, kwanza hao failures wako hawapo hata kwenye ualimu na ajira za serikali
Lete hoja mkuu achana na viloja
 
Walimu ni kama punching bag, yani kila mtu anaweza kuwasema , kuwatusi, kuwadhurumu etc. Poleni
Na ndio uliowakabidhi wanao wakufundishie

Sasa hapo tatizo ni walimu au wewe mzazi ndezi usiejua nani umkabidhi akulele mwanao?

Tatizo la wazazi wengi wanawadharau walimu wakati watoto wao wameyakabidhi kwa wale qanaowadharau

Unashindwa kuwaelewa hizi hawa wazazi sio wale ambayo katika kila watanzania 3 mmoja ana tatizo la akili??

Kazi ipo ndani ya Mitano tena
 
We jamaa mwongo wewe, mwalimu mwongo, matokeo ni yaleyale? Muda mwingine angalia na watu wa kuwadanganya basi, hiv shule yako matokeo yake yanafanana na ile st Francis girls?
 
We jamaa mwongo wewe, mwalimu mwongo, matokeo ni yaleyale? Muda mwingine angalia na watu wa kuwadanganya basi, hiv shule yako matokeo yake yanafanana na ile st Francis girls?
Kwani we matokeo unayoyajua ni yale ya hiyo shule uliyoisema tu??
 
Dua la kuku hilo

Na mitoto yenu tutaibutua ikikosa adabu
Kwanza mweshimiwa karuhusu viboko
 
Mleta mada anaongelea athari za ukatili zinavyowatesa waalimu.,naona yuko saw a.
 
Dua la kuku hilo

Na mitoto yenu tutaibutua ikikosa adabu
Kwanza mweshimiwa karuhusu viboko
Amewaonea watoto Wa masikini sisi wanetu wanaosoma school za kata.
Shule za private na international hakina hii maki2 ya fimbo,huko mtoto akinya shuleni anasafishwa,njoo sasa shule za maghufuli eti mtoto kajinyea yani fimbo ndo itakuwa chakula chake.

Alsikika mlevi mmoja Wa k van't.cc bujibuji .
 
Hivi ujasiri wa kumpiga bakora mtoto wa mtu wanautoa wapi hawa walimu ikiwa mimi kama mzazi namuonea huruma mwanangu P?
 
Akili za kitoto sana ukikua utaacha utoto huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…