Athari za siasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Athari za siasa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by masonda isdory, Mar 26, 2011.

 1. m

  masonda isdory New Member

  #1
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siasa ni mdudu ambaye kwa namna moja au nyingine amechangia kuitafuna elimu yetu hasa nyakati hizi za usoni
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Great thinker asingebandika kitu cha namna hii.

  Je, hili ni swali? Mtazamo? Statement? Ni kitu gani haileweki. Unless ulikuwa unajaribu kubandika kwa mara ya kwanza, kitu ambacho siyo jambo baya kama ungetumia angalau dakika 10 kufikiri utabandika nini. Siyo vitu nusu nusu, tofauti ya Facebook na JF ni kuwa huku hakuna 'What's on your mind?'.

  Ulichokiandika kinabaki na swali, KWAHIYO?
   
Loading...