Nyota ndio mfumo aka (Fuıture) ya binadamu haswa kwa wale wachumba (mke na mume) watarajiwa wanaotaka kufunga pingu za maisha ukikosea hapo umekosea maisha yako ya ndoa unatakiwa uchaguwa mchumba kutona na nyota yako ili mupate kuelewana ndani ya ndoa na maisha yenu yawe na baraka na mapenzi na masikilizano ndani yake.
Kwa Mfano Mtu Mwanamme AU Mwanamke mwenye nyota ya Punda
1.Aries-March 21-April 19 (Punda
Anatakiwa amuoweau aolewe na Mwanamke AU Mwanamme Mwenye nyota ya Mizani
6.Libra-September 23-October 22 (Mizani). Wataelewana na ndoa yao itakuwa na baraka tele.
Kwa Mwanamme AU Mwanamke mwenye nyota ya Ng'ombe.
2.Taurus-April 20-May 20 (Ng'ombe
Anatakiwa amuoweau aolewe na Mwanamke AU Mwanamme Mwenye nyota ya Nge.
11.Scorpion-Oct 23-November 21 (N'ge)
Kwa Mwanamme AU Mwanamke mwenye nyota ya Mapacha
3.Gemin-May 21-June 20 (Mapacha)
Anatakiwa amuoweau aolewe na Mwanamke AU Mwanamme Mwenye nyota ya Mshale.
7.Sagittarus-November 22-December 21 (Mshale)
Kwa Mwanamme AU Mwanamke mwenye nyota ya Kaa
4. Cancer-June 21-June 22 (Kaa)
Anatakiwa amuowe au aolewe na Mwanamke AU Mwanamme Mwenye nyota ya Mbuzi.
Capricon-December 22-January 19 (Mbuzi)
Kwa Mwanamme AU Mwanamke mwenye nyota ya Simba.
5. Leo-July 23-August 22 (Simba)
Anatakiwa amuowe au aolewe na Mwanamke AU Mwanamme Mwenye nyota ya Ndoo.
Aquarius January 20-February 18 (Ndoo)
Kwa Mwanamme AU Mwanamke mwenye nyota ya Mashuke.
6. Virgo-August 23-September 22 (Mashuke)
Anatakiwa amuowe au aolewe na Mwanamke AU Mwanamme Mwenye nyota ya Samaki.
Pisces-February 19-March 20 (Samaki)
Na hivyo hivyo kinyume chake inakubaliana hapo ukifanikiwa kumpata mytu munaye endana kinyota umempata mchumba wako wamaisha na utabarikiwa kimaisha watoto ,Mali na utajiri kuvumiliana mapenzi pia yatakuwepo usipo mpata Mwanamke au mwanamme munae fanana kinyota hapo ndipo mashaka makubw akimaisha yako hayatakuwa salama maradhi,mikosi,mabalaa kuachana ugomvi usio kwisha ndani ya nyumba kutakuwa hakuna baraka.
Ukiwa na Shida yoyote ile
nitafute mimi nipate kukutatulia ili uweze kufanikiwa kimaisha ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya
pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.