Athari za mgogoro wa kisiasa unaoendelea TZ: Wafanyabiashara wa Marekani waanza kujitoa na kuondoa mitaji yao taratibu

Athari za mgogoro wa kisiasa unaoendelea TZ: Wafanyabiashara wa Marekani waanza kujitoa na kuondoa mitaji yao taratibu

Hiyo taasisi ikisambaratika moja ya jumuiya ya watu watakaoathirika ni watoto wa Tumaini la Maisha.

Mapema mwaka huu wa 2025 waliandaa mbio ya hisani ambapo zilikusanywa kiashi cha shilingi miloni 10 zilizopelekwa kusaidia watoto wa taasisi ya TLM wanaopambana na maradhi ya saratani.

Kuna kitu hakipo sawa.
 
Tutaishi vip Sasa sisi wananchi?Huyu kizimkazi Kwa Nini hataki kujiuzulu?kuondoka Kwa wafanyabiashara hawa kutapelekea kuathrika sana Kwa maisha yetu
 
Wewe jinga, wanasema tanzania inaenda kinyume na mtazamo wa Trump ambaye anajali haki ya kuishi kuliko kingine chochote, wanakuwaje against?
kama hujaelewa hio barua bora utulize mshono ndan
 
Kama Taifa tuone tunaweza kufanya bila wao, Acha waondoke watakuja wengine
maji yenyewe yanawasumbua na tumezungukwa na vyanzo vyote vya maji....mnachoweza kufanya zaidi ya wao ni wizi,rushwa,kubagaza rasilimali ,kuteka na kuuwa hamna lingine zaid ya hapo
 
Kwahiyo Samia baada ya kutuharibia nchi na kutufarakanisha na ulimwengu ataachwa hivihivi?
 
Kama Taifa tuone tunaweza kufanya bila wao, Acha waondoke watakuja wengine
Wachina na Warusi? Maana Wachina wao uhusiano wao ni uwape tender, Warusi wao ni wakuuzie silaha zilizopitwa na wakati. Sifa kubwa ya Warusi na Wachina kwa Ccm ni kuwa huwa hawahoji chaguzi za wizi.
 
🚨 TANZANIA: U.S. BUSINESS LEADER WITHDRAWS FROM AMERICAN CHAMBER IN TANZANIA AMID ESCALATING HUMAN RIGHTS CRISIS AND NEW TRAVEL RESTRICTIONS

In a dramatic escalation of tensions between the United States and Tanzania, prominent American entrepreneur @MichaelCoudrey, Chairman & CEO of Pharos Investment Group, has withdrawn his organization's membership from the American Chamber of Commerce in Tanzania (@AmChamTZ).

The move follows Tanzania's deteriorating human rights situation, marked by widespread reports of post-election violence, including the killing of hundreds of innocent civilians during protests against the disputed October 29, 2025, elections.

Coudrey's statement, posted on X on December 23, 2025, directly accuses AmChamTZ leadership of opposing President Trump's America-first policies:

ā€œ.....We are hereby withdrawing our membership from @AmChamTZ. Under their current leadership, they are directly opposing and attacking the President of the United States, his leadership, and America-first policies—which is not unacceptable to us..."

"...When the American Chamber of Commerce in Tanzania starts behaving like a liberal America-last advocacy group, it’s time to pull the plug...."

"... I encourage all US commercial interests, diplomats, and Embassy staff to remove their affiliations with such a group acting in direct opposition of the President of the United States until further notice......ā€

This development coincides with President Trump's December 16, 2025, proclamation expanding U.S. travel restrictions, adding Tanzania to a list of 15 countries facing partial visa suspensions.

The backdrop includes severe human rights abuses under President Samia Suluhu Hassan's government following her re-election with 97.66% of the vote in elections criticized by observers as falling short of democratic standards.

President Hassan has defended the crackdown while spreading propaganda accusing foreign powers, including the U.S., of sponsoring diaspora activists who amplified Tanzanians' voices against electoral fraud and repression.

Coudrey's action signals growing U.S. private sector backlash, urging alignment with America-first principles over entities perceived as enabling anti-American agendas abroad.
===============================
View attachment 3520442

Tanzania will allow US to fire the first shot but will never allow to shoot the second shot, Tanzania will make sure US faces major consequences
 
Kama Taifa tuone tunaweza kufanya bila wao, Acha waondoke watakuja wengine
Mpaka leo hata kuwapatia wananchi wenu maji salama(hata yasiyo salama) baada ya miaka sitini na kadhaa tangu uhuru all of sudden mnataka kuja na miracle solutions zipi mjiweze tena bila ya misaada ambayo pia mlikuwa mnaifuja tu.
Kuzidi kuporomoka kwa uchumi ndicho kitakachoendelea na huyo m'bibi ataacha legacy ya kuitumbukiza Tanganyika shimoni.
 
Kama Taifa tuone tunaweza kufanya bila wao, Acha waondoke watakuja wengine
Bila shaka watu kama nyinyi ndo mmemzunguka na kumpa ushauru mama. Kisa nyinyi mnalipwa buku 7 kuposti mitandaoni mnahisi watu wote wanaishi hivyo.
Kuna wafanyabiashara wa kitanzania kuna waajiriwa wanapata kipato kupitia hao watu.
 
Kama Taifa tuone tunaweza kufanya bila wao, Acha waondoke watakuja wengine
images (24).jpeg
Una maji safi na salama ya uhakika kwanza.?
 
"...When the American Chamber of Commerce in Tanzania starts behaving like a liberal America-last advocacy group, it’s time to pull the plug...."

"... I encourage all US commercial interests, diplomats, and Embassy staff to remove their affiliations with such a group acting in direct opposition of the President of the United States until further notice......ā€

  • Hawa manyangau ukiona wanazungumza lugha hizi, ujue wamenyimwa kula watakavyo.
  • Wakikusifia sana ujue wewe ni mjinga na umewapa vyote wanavyotaka.
Kwa fomula hizi, leo nimehakikisha kuwa Rais Dkt Samia suluhu Hassan kawapiga spana kali kwa maslahi ya wananchi wake. Vijana waliotumwa kuleta vurugu wameshindwa.
 
Bila shaka watu kama nyinyi ndo mmemzunguka na kumpa ushauru mama. Kisa nyinyi mnalipwa buku 7 kuposti mitandaoni mnahisi watu wote wanaishi hivyo.
Kuna wafanyabiashara wa kitanzania kuna waajiriwa wanapata kipato kupitia hao watu.
Watatoa buku 7 kwa wangapi nchi nzima ....hakuna kitu kama hcho
 
Back
Top Bottom