Athari za kuwa bikira

Heee mungu atuepushie hasa kama hiyo damu haikutoka si utaonekana umefanya utundu:crying::crying:



Kwa mwanaume mwenye akili zake lazma ataelewa tuu, kuna tofauti ya virginity na hymen
 

Duh hapa umeniacha hoi kwa kweli!
Why shouldn't I . . . . . . . . . . . . . . LMAO!
 
Halafu uanweza kuta ishakuwa ngumu na haitoki tena kwa njia zilizoeleka

We! We! We! Futa huo usemi, haitoki! Wenzio tunauwezo hadi wa kutoboa jeans, sometimes zinafit kuwa henga za kutundikia makoti! Weeeewe!
 
mbona masista wanazeeka na bikra zao
 

Unamaanisha ya <<<< au ya >>>>? Asibane sana italiwa na nyenyere ila kweli kabisa ni hasara kuwa na bk mbili (kama Zipo hai zote) kwa umri huo!! At least auwe moja
 
Hakuna zawadi nzuri ambayo mwanamke anaweza mpa mme wake zaidi ya BIKRA!

Ila ziwe zote isiwe ile moja tu tuliyozoea, mabinti wa secondari Siku hizi ni bkr front exit, ila rear exit ni ma.jaaa.nga!!!
 

Hahahaaaaa
 
Kuwa na bikira mpaka age ya 40 lazima anatatizo au atoe maelezo ya kutosha .

Wapo ila ukiwaangalia tu unaona kuna something wrong somewhere. Tembea yao, ongea yao, vaa yao utagundua tu kuna shida na usiombe apate cheo hapo kazini ni chaos
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…