Athari za bangi

SIMBA DUME

Member
Jul 6, 2008
30
0
Wafuta bangi wa 2 walikua wanabishana
WA 1:-LILE NI JUA
WA 2:-HAPANA MSHKAJI ULE NI MWEZI
WA 1:-JUA
WA 2:-MWEZI
Kwa bahati nzuri mimi nikakatiza ilikua jioni ya saa 1
Wafuta bangi wakaniuliza
MSHKAJI EE TUKUULIZE
MIMI NIKAJIBU:pOA
WAFUTA BANGI:- ULE MWEZI AU JUA?
MIMI:-SAMAHANI WASHKAJI MIMI MGENI NIMEKUJA LEO SIJUI KAMA MWEZI AU JUA
WAFUTA BANGI :- POA
 
Back
Top Bottom