King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,984
Unamchuna nyama huyu hana ngozi kabisa
tunachuna kwa style ya kitimoto, maji ya moto yenye.iliki na abdallahhamsini.
Unamchuna nyama huyu hana ngozi kabisa
lol. dahhhh huyo jamaa ntamweka kwenye list yangu .... mi simtaki yeye na taka hilo shati tu na mkufu mmoja.Heri ya mwaka mpya...usipotee hivyo, tunakumiss 🙂
Mie nimeshangaa bei, makorokocho yote hayo hata RR hupati?! Khaaa
@giLESI, do you think gfsonwin is very cheap the way you think?..Silver and Gold belongs to The Lord and gfsonwin belong to the same Lord.
My take: gfsonwin can ask her father (God) for both Silver and Gold rather than being attracted by someone else shirt which will peril her life in a mere both "celestial and terrestial indian" night vigil.
uko wapi kipenzi, mbona adimu hivyo?
Really????Jamaa nasikia kauwawa
Bujibuji acha zako bhana,gfsonwin ni shemeji yangu,tena mme wake ni tajiri kwa hiyo hana shida na Wadosi.hajiamini huyu, labda atapendwa na gfsonwin kwa style hii
Yap too badReally????